Rais Samia anajiharibia mwenyewe

Rais Samia anajiharibia mwenyewe

Magufuli alikuwa akipita sehemu viongozi wa umma almanusura wajikojolee.
Wengine walidiriki kukuita Mh. Mungu.
Wengine walisema Magufuli ni zaidi ya Yesu au Muhammad.
TV zote na redio zilikuwa busy kumnadi Magufuli.
Wengine walihisi hatakufa.
Ila alizimwa shwaaa
Yaani ghafla tu shwaaa
Mtaweza nyie?
Kila Ijumaa makanisani watu walikesha kumuombea maisha marefu lakini Mungu aliyakataa maombi yao.
Nyie hamtaweza.
Kila Ijumaa makanisani watu walikesha kumuombea maisha marefu lakini Mungu aliyakataa maombi yao.
Nyie hamtaweza📌🔨.
 
madaraka na vyeo ni vitu vya kupita.
Alikuwepo Adolf Hitler, firaun na majeshi yao yenye nguvu,leo wapo wapi?
ishi na watu vizuri
 
Inavyoonekana Samia ni muumini wa ma chawa jambo ambalo ki uhalisia wanamdanganya kuliko kumweleza ukweli.

Kwa yanayoendelea Nchini, ni wazi wapo wapuuzi wanamdanganya apuuze.

Rais Samia anajiharibia mwenyewe kwa kujitakia.
Kuna mtu/watu wamemzunguka na kuteka mawazo yake. Anafikiria na kutenda kama chawa!
 
Inavyoonekana Samia ni muumini wa ma chawa jambo ambalo ki uhalisia wanamdanganya kuliko kumweleza ukweli.

Kwa yanayoendelea Nchini, ni wazi wapo wapuuzi wanamdanganya apuuze.

Rais Samia anajiharibia mwenyewe kwa kujitakia.
Unatafuta kulogwa?
 
Huyu hatapita kwenye kura za maoni ndani ya chama chake....na kama akipitishwa atakua na wakati mgumu sana kushinda uchaguzi
 
Back
Top Bottom