Kipindi hiki chadema inadeal na Nguli aliyepitia mashirika yasio ya kiserikali yaa NGOs ambazo hunena lugha inayoeleweka kimataifa hivyo ule mtindo wa kutengeneza matukio na kwenda kuomba huruma ya vyombo vya habari utashtukiwa mapema sana.
#CNNachauongo
Ebu ondoa maandishi takataka hapa JF
Rais tumemtuma kama watanzania afikirie nje ya box ili tushindane na Mataifa Duniani
Inayoongozwa ni nchi na sio chadema, Rais anaongoza nchi
Hatukumtuma akimbizane na Mbowe au Chadema, Mbowe hata sisi tuna uwezo wa kumkamata, Afanye kazi ya upekee
Mama atueleze kama Taifa lini nchi yetu itaanza kutengeneza Rocket, Balistic Missile, Ndege zisizokuwa na rubani. Haya ndio tunasubiri
Uchumi wa Tanzania umeporomoka, Afanye kazi kama akina Ben Mkapa na Jakaya, Watu wanahitaji maisha bora zaidi kuliko ya enzi za akina Jakaya na Ben Mkapa
Watu wanahitaji kodi rafiki na kufikiria nje ya box, Tunahitaji Mama aeleze lini Tanzania tutaenda anga za mbali mfano Sayari ya Mars au Jupiteter
Mama atueleze ni lini wanafunzi wetu wa vyuo vikuu vya afya watakuwa na uwezo wa kutengeneza chanjo za Polio, Corona na utindio wa akili
Mama atueleze ni lini pesa yetu Itakuwa na thamani zaidi ya pesa ya Kenya
Tunahitaji Maendeleo ya science na Teknolojia, Hatujamtuma kufukuzana na Raia wake kwa kutumia polisi, Hayo ya kufukuzana walishayafanya akina Chief Mkwawa na Chief Songea enzi za ujima na hatujastarabika