Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?


Kumbe sijaona hili peke yangu [emoji28][emoji1787] Chuma kilikwenda na Corona. Sala ziligonga mwamba.
 
Punguza mihemko fala wewe,angalia niliyem quote aliandika nini? Kama CCM ndio wameleta watu wa hovyo kama Magufuli na Samia mimi nifanyeje
 
Punguza mihemko fala wewe,angalia niliyem quote aliandika nini? Kama CCM ndio wameleta watu wa hovyo kama Magufuli na Samia mimi nifanyeje
Kama huna la kufanya ktk nchi yako, utalawitiwa! You will be defiled!
 
MWANDISHI: He was a Punguwani?

SAMIA: Yeah! he was..

Sio siri tena alifikiri ameishinda Covid19 akapewa na tuzo huku akijua fika kuwa ana Betrii ku moyo.
 
"....Who contracted COVID.....Yeah...." aisee technically fantassy interview by an investigative journalist

Kwa hiyo JPM hakupoteza maisha kwa 'defibrillation complications' ila kwa kuambukizwa na Uviko? Kwa mjibu wa mahojiano haya?

This interview has exposed a lot of coding issues that intellectuals have been enlightened to discern behind the scene, with the situation it is evident that all who were involved in one way or another to claim his life will be brought to book even if it takes half a century.
 
Wewe unafanya nini zaidi ya kuja kubinua makalio tu humu
Boss, tunashindana kwa hoja zinazotokana na uelewa kichwani. Wewe unajaribu kuleta miopasho ya mdundiko baadaye useme nimemshinda, mshenzi huyu. Onesha uelewa wako. Ukitaka ushabiki, tulimalizana Lupaso. Huku tunatuimia vichwa.

Sasa najua nabishana na MAIMUNA! Miaka yote uko ndani ya JF kwa uelewa mdogo huu, kwa nini hujiendelezi. You are semi-illiterate! Hujui hata umuhimu wako hapa JF, unasema wewe unafanya ninizaidi ya .......... hl-bhla!! What a hell for this country? Can't you try to energize your cerebral at least for crediting your family members to have had shared a family home with you?
 
Kwani Wapi amesema JPM alikufa kwa Covid 19? Au lugha ndio tatizo?
 
kusema ukweli, pamoja na maoni yote yaliyotolewa, ukweli hicho kipande ambacho chief hangaya anaitikia "Yeah" kimehaririwa (editing) manaake kuna maneno fulani yanasikika kablaa.
Kwamba Mama au TISS hawakupitia Kila kipande kabla ya movie kutolewa? Unadhani Mama ni dumb kiasi hiko? Anajua alichofanya na anauhakika sababu ana taarifa kuliko mimi na wewe.
 
Tena wewe ndio ukae kimya kabisa kipindi sisi upinzani tunasema JPM kazidiwa na ameshakata roho mlikua mnatutukana na kutuita vibaraka wa mabeberu.

Leo hii mmeamini amekufa ndio mnadai uchunguzi wakati akiwa Bado anapambania maisha yake ICU mlikua mnapuuza kilio chetu!

Nasema hivi hakuna Cha tume wala nini maana nyie wenyewe hamueleweki mnataka nini. Hata wakija interpol kuchunguza mtadai wamelipwa, wakisema amekufa kwa Covid 19 mtadai imetengenezwa na mabeberu Ili wauze chanjo.

Kiufupi italeta maswali mengi kuliko hata majibu maana WaTZ mnapenda kuongozwa na hisia kuliko facts
 
..kilitakiwa kihakikiwe ile kisitoke public, na huo ni wajibu wa Dr.Abbas, Msigwa, na Zuhura Yunus.

..suala la Jpm kuambukizwa Covid lilitakiwa libakie kuwa SIRI ya wakubwa huko serikalini.
Kwa kuwa yeye hakuwa binadamu? Malkia Elizabeth, Trump na viongozi wengi tu duniani waliambukizwa COVID na nchi zao walitangaza iweje JPM iwe siri!!!!
 
Utawezaje kumsifu mtu mpuuzi ambaye mwaka jana tu, aliwaambia wa-TZ kwamba sababu ya kifo ni moyo? Anakuwa mbele ya mzungu anajikuta ameropoka. "YES!" Nadhani ni kuropoka bila kujua maana ya swali aliloulizwa.
Kuna tofauti kati ya kuambukizwa ugonjwa na kufa kwa sababu ya huo ugonjwa. Amesema ALIAMBUKIZWA hajasema ndiyo uliomuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…