Rais Samia anakuja "kufunika" tena Nanenane Mbeya

Michael Uledi

Senior Member
Joined
Mar 29, 2023
Posts
132
Reaction score
323
George Michael Uledi.
August 4,2023.

Kwa lugha rahisi unaweza kusema haijawahi kutokea tangu Uhuru kwa Nchi ya Tanzania kuandaa Jukwaa na Maonyesho Makubwa ya Sikukuu ya Wakulima Nchini yaani NaneNane kwa kushirikisha Nchi jirani tena safari hii yakifanyika katika Jiji la Mbeya,Tanzania.

Uwekezaji huu katika Sekta ya Kilimo ambao haujawahi kufanyika Nchini tangu Uhuru ni muendelezo wa Mapinduzi Makubwa ya Uwekezaji ndani ya Serikali ya CCM ya awamu ya Sita ambayo "imeseti"Bajeti ya Kilimo ya Bilioni 900+ Tsh kwa Mwaka 2023/2024 hivyo kuziacha mbali Nchi za Kusini mwa Ukanda wa SADC.

Serikali ya awamu ya Sita ya CCM imeendelea kuteka Majukwaa Makubwa ya Uwekezaji duniani kwani inatarajia "Kuhost"Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Chakula Duniani utakaofanyika Jijini Dar es salaam September 5-8 Mwaka 2023.

Uwekezaji ndani ya Bandari ya Dar es Salaam unatajwa kama Mkakati wa Maandalizi ya Nchi kuweza "kuexport" Mazao ya Kilimo na Mifugo hasa kwenye Nchi za UAE ambazo mahitaji yake ya Mazao ya Mifugo ni fursa kubwa ya kuweza kuzilisha Nchi hizo za Saudia, Dubai, Qutal na nyinginezo.

Bandari ya Somalialand na Djibouti zinatengeneza fedha nyingi za kigeni kupitia uuzaji wa bidhaa za mifugo kwenye Nchi za soko la UAE.

Ni suala la muda tu kwani Uwekezaji ndani ya Bandari ya Dar hasa sehemu za kutunzia chakula unaweza ukaifanya Tanzania kuwa Best Exporter wa Mazao ya Mifugo ukizingatia Nchi ya Tanzania kitakwimu ni Nchi ya Pili yenye mifugo mingi barani Afrika kwa sasa.

Kuna watu watakimbia Nchi hii kwa AIBU ya kuutukana Uwekezaji wa DP World Dubai ndani ya Tanzania sio mbali,probably Mwaka 2027 hapo.

Nipo pale. Tusubilie tu.
 
George Michael Uledi.
August 4,2023.

Kwa lugha rahisi unaweza kusema haijawahi kutokea tangu Uhuru kwa Nchi ya Tanzania kuandaa Jukwaa na Maonyesho Makubwa ya Sikukuu ya Wakulima Nchini yaani NaneNane kwa kushirikisha Nchi jirani tena safari hii yakifanyika katika Jiji la Mbeya,Tanzania.

Uwekezaji huu katika Sekta ya Kilimo ambao haujawahi kufanyika Nchini tangu Uhuru ni muendelezo wa Mapinduzi Makubwa ya Uwekezaji ndani ya Serikali ya CCM ya awamu ya Sita ambayo "imeseti"Bajeti ya Kilimo ya Bilioni 900+ Tsh kwa Mwaka 2023/2024 hivyo kuziacha mbali Nchi za Kusini mwa Ukanda wa SADC.

Serikali ya awamu ya Sita ya CCM imeendelea kuteka Majukwaa Makubwa ya Uwekezaji duniani kwani inatarajia "Kuhost"Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Chakula Duniani utakaofanyika Jijini Dar es salaam September 5-8 Mwaka 2023.

Uwekezaji ndani ya Bandari ya Dar es salaam unatajwa kama Mkakati wa Maandalizi ya Nchi kuweza "kuexport" Mazao ya Kilimo na Mifugo hasa kwenye Nchi za UAE ambazo mahitaji yake ya Mazao ya Mifugo ni fursa kubwa ya kuweza kuzilisha Nchi hizo za Saudia,Dubai,Qutal na nyinginezo.

Nipo pale.Tusubilie tu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mama akifanikiwa kurudi kutoka Dubai alikokimbilia tangu mwanzoni mwa wiki basi tutamwona tena mbeya.
 
Hukumu ya High Court itakuwa jana yake hapo hapo Mbeya pande zote zijiandae na matokeo.
 
Why Mbeya.? Mihemko mtu.
Kwa hiyo hujui Kwa nini Mbeya? Ndio maana nimeandika makala kuelezea jinsi Hilo chama lenu lisivyo na ajenda .

Nitajie ajenda ya Maendeleo ya Chadema unayoijua wewe kwenye sekta yeyote nikutumie Laki
 
Nishakuwa chadema
 
George Michael Uledi.
August 4,2023.

Kwa lugha rahisi unaweza kusema haijawahi kutokea tangu Uhuru kwa Nchi ya Tanzania kuandaa Jukwaa na Maonyesho Makubwa ya Sikukuu ya Wakulima Nchini yaani NaneNane kwa kushirikisha Nchi jirani tena safari hii yakifanyika katika Jiji la Mbeya,Tanzania.

Uwekezaji huu katika Sekta ya Kilimo ambao haujawahi kufanyika Nchini tangu Uhuru ni muendelezo wa Mapinduzi Makubwa ya Uwekezaji ndani ya Serikali ya CCM ya awamu ya Sita ambayo "imeseti"Bajeti ya Kilimo ya Bilioni 900+ Tsh kwa Mwaka 2023/2024 hivyo kuziacha mbali Nchi za Kusini mwa Ukanda wa SADC.

Serikali ya awamu ya Sita ya CCM imeendelea kuteka Majukwaa Makubwa ya Uwekezaji duniani kwani inatarajia "Kuhost"Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Chakula Duniani utakaofanyika Jijini Dar es salaam September 5-8 Mwaka 2023.

Uwekezaji ndani ya Bandari ya Dar es salaam unatajwa kama Mkakati wa Maandalizi ya Nchi kuweza "kuexport" Mazao ya Kilimo na Mifugo hasa kwenye Nchi za UAE ambazo mahitaji yake ya Mazao ya Mifugo ni fursa kubwa ya kuweza kuzilisha Nchi hizo za Saudia,Dubai,Qutal na nyinginezo.

Bandari ya Somalialand na Djibouti zinatengeneza fedha nyingi za kigeni kupitia uuzaji wa bidhaa za mifugo kwenye Nchi za soko la UAE.

Ni suala la muda tu kwani Uwekezaji ndani ya Bandari ya Dar hasa sehemu za kutunzia chakula unaweza ukaifanya Tanzania kuwa Best Exporter wa Mazao ya Mifugo ukizingatia Nchi ya Tanzania kitakwimu ni Nchi ya Pili yenye mifugo mingi barani Afrika kwa sasa.

Kuna watu watakimbia Nchi hii kwa AIBU ya kuutukana Uwekezaji wa DP World Dubai ndani ya Tanzania sio mbali,probably Mwaka 2027 hapo.

Nipo pale.Tusubilie tu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
KARIBU MBEYA MAMA SAMIA.
Watu wa Mbeya ni wale wale, wakarimu na wakweli.
 
Unakumbushwa tu ewe mtanzagiza bei ya petrol imeongezeka kwa sh 400
 
Amuulize Mkapa tulichomfanya. Kiwete anatujua vizuri, na Magufuli alishindwa kuhutubia Sokoine akaishia kuimba People's Power.

Huyu muuza nchi tumempania kikamilifu. Ukomozi wa Tanganyika utaanzia Mbeya na ndio umesha anza
 
George Michael Uledi.
August 4,2023.

Kwa lugha rahisi unaweza kusema haijawahi kutokea tangu Uhuru kwa Nchi ya Tanzania kuandaa Jukwaa na Maonyesho Makubwa ya Sikukuu ya Wakulima Nchini yaani NaneNane kwa kushirikisha Nchi jirani tena safari hii yakifanyika katika Jiji la Mbeya,Tanzania.

Uwekezaji huu katika Sekta ya Kilimo ambao haujawahi kufanyika Nchini tangu Uhuru ni muendelezo wa Mapinduzi Makubwa ya Uwekezaji ndani ya Serikali ya CCM ya awamu ya Sita ambayo "imeseti"Bajeti ya Kilimo ya Bilioni 900+ Tsh kwa Mwaka 2023/2024 hivyo kuziacha mbali Nchi za Kusini mwa Ukanda wa SADC.

Serikali ya awamu ya Sita ya CCM imeendelea kuteka Majukwaa Makubwa ya Uwekezaji duniani kwani inatarajia "Kuhost"Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Chakula Duniani utakaofanyika Jijini Dar es salaam September 5-8 Mwaka 2023.

Uwekezaji ndani ya Bandari ya Dar es salaam unatajwa kama Mkakati wa Maandalizi ya Nchi kuweza "kuexport" Mazao ya Kilimo na Mifugo hasa kwenye Nchi za UAE ambazo mahitaji yake ya Mazao ya Mifugo ni fursa kubwa ya kuweza kuzilisha Nchi hizo za Saudia,Dubai,Qutal na nyinginezo.

Bandari ya Somalialand na Djibouti zinatengeneza fedha nyingi za kigeni kupitia uuzaji wa bidhaa za mifugo kwenye Nchi za soko la UAE.

Ni suala la muda tu kwani Uwekezaji ndani ya Bandari ya Dar hasa sehemu za kutunzia chakula unaweza ukaifanya Tanzania kuwa Best Exporter wa Mazao ya Mifugo ukizingatia Nchi ya Tanzania kitakwimu ni Nchi ya Pili yenye mifugo mingi barani Afrika kwa sasa.

Kuna watu watakimbia Nchi hii kwa AIBU ya kuutukana Uwekezaji wa DP World Dubai ndani ya Tanzania sio mbali,probably Mwaka 2027 hapo.

Nipo pale.Tusubilie tu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Watu wengine Bana. Nyie ndo huwa mnamwita Raisi MUNGU.
 
Sawa
 
KARIBU MBEYA MAMA SAMIA.
Watu wa Mbeya ni wale wale, wakarimu na wakweli.
Kuweka kumbukumbu sawa.
Kikwete alizuiliwa pale Uyole watu walilala barabarani asipite hadi wampe ukweli wake. Tukamchana mchana kweupeee.

Alipoenda Chunya msafara wake ulipigwa mawe.

Mkapa alitukanwa na kuonyeshwa mabango yaliyomwita fisadi.

Magufuli alipojaribu kuhutubia watu walikuwa wanapaza sauti people's..... power naye ikabidi aimbe hivyo na mkutano wake ukaisha.

Sisi si wengine, ni walewale hatujabadilika
 
Msisahau kuwaleta kwenye malori na matrekta

Na Zuchu awatumbuize pia watafurika kweli kumwona mahiri huyu na muwaahidi mnofu wa mbogo
 
Kuweka kumbukumbu sawa.
Kikwete alizuiliwa pale Uyole watu walilala barabarani asipite hadi wampe ukweli wake. Tukamchana mchana kweupeee.

Alipoenda Chunya msafara wake ulipigwa mawe.

Mkapa alitukanwa na kuonyeshwa mabango yaliyomwita fisadi.

Magufuli alipojaribu kuhutubia watu walikuwa wanapaza sauti people's..... power naye ikabidi aimbe hivyo na mkutano wake ukaisha.

Sisi si wengine, ni walewale hatujabadilika
Hayo ni matatizo ya watu wasioenda shule na vibaka, kwa hiyo sio wote.
Nafikiri hujaulizia kilichowapata waliorusha mawe.
 
Back
Top Bottom