Rais Samia anamaanisha CHADEMA kuna Ugomvi Unaendelea?

Rais Samia anamaanisha CHADEMA kuna Ugomvi Unaendelea?

Samia anafikiri Sukuma Gang wamelala au wamemkubali,wanamlia timing tu,mwacheni ajifariji kuwa Chadema inakufa.
 
Binafsi sijaona kama alijenga au kujibu hoja za wanaomkosoa nimeona akiongea utadhani yupo kwenye mipasho yakina mama.

Pumzi imekata mapema sana. Ameshindwa kuvumilia hoja za Chadema
 
Back
Top Bottom