Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kama ni Mwanadamu mbele ya Kioo, basi JK ni Kioo Cha Samia na Samia ndio JK linapokuja suala Zima la kiutendaji na Kiuongozi.
Safari za nje ,hivi Kuna Nchi JK hakwenda ? Ila Sasa Safari zao wote wawili, Ni upotevu wa Fedha za Wala hoi na misafara Yao mikubwaaa na Bado safari zenyewe zimethibitisha kufeli.
Rais Samia, kwenye Ziara ya Royo tuwa kule US, alisikika et 'Huko nyuma kuliweko Chui, Mara corona vile, Mara hivi akijua labda majungu Kwa Hayati JPM aliyefumba mdomo na haongei Tena, yangeweza kumlift kisiasa Matokeo yake hamna kitu
Masikini wanazidi kua Masikin kama ilivyokua Kwa JK.
Wizi, vurugu, ujambazi na jinai za Kila aina zinazidi kuongezea kama ilivyokua Kwa JK.
Biashara ya Dawa za Kulevya, sahizi Vijana wetu ndo wanazidi kupukutika.
Rushwa Sasa usiseme, imetamalaki Kila Mahali kama ilivyokua Kwa JK
Nidhamu na Maadili ya kazi Ndo kabisaaa sahizi Kila mtu ni Boss kama ilivyokua Kwa JK.
Wakulima wanazidi kulemewaaa nahali mbaya kama ilivyokua wakati wa JK.
TAIFA halina muelekeo kama ilivyokua wakati wa JK.
Umeme ,Maji imekua shidaaaa kama ilivyokua wakati wa JK.
Ufisadi umerudi Kwa Kasi kama ilivyokua wakati wa JK .
Mfumuko mkubwa wa gharama za Maisha kama ilivyokua Kwa JK .
Ajira zimerudi kua za Unandugu ? Kama ilivyokua Kwa JK.
TANZANIA hussani katika Nyakati hizi za Dunia ya Leo, bado inahitaji Ma Rais wenye Hulka ya JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI .
Na hapa ndio unaona uhitaji wa watu kama
Dr. Bashiru
Dr.Gwajima(Askofu)
Mh.Luhaga Mpina
Mh .Majaliwa
N.k
Watu ambao ni wabunifu, uthubutu wa kupambana pasipo kuhofia wanaopambana nao , wenye uzalendo wa kweli, wenye Nia ya kuivusha Nchi hii.
Kua Wazi, Rais Samia kaupata Urais nje ya ndoto zake, ni nafasi aloipata Kwa sababu ya upendeleo wa Jinsia, Sehem alotokea, na Hatimaye kifo Cha JPM.
Ni Muoga, Hana uthubutu wa kusimamia yenye masilahi , Anafanya Siasa , na bahati mbaya Siasa zake ni nyepesi zinazowafanya watu wake Sasa kufanya wafanyavyo.
Kula Kwa Jamba yako. Hebu litazameni, nenden mkalitazame. HUYU SIO KIONGOZI!
Na ikiwa Mungu ndio huruhusu Viongozi wa Nchi kupitia Mamulaka za wanadam ziwateuwao, basi Enyi Dola, 2025, msimletee kwa ajili ya Watanzania walio wengi na wanyonge.
Mambo mtaaani ni tofauti kabisa na Maneno ya CHAWA WA RAIS SAMIA.