Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Awamu hii imeanzisha mradi upi mpya mbali na ujenzi wa daraja la Bil 7😳😳?nchi inaujinga sana kwani magufuli alikuja na pesa au mradi.hivo ni vitu vya serikali na wananchi.ndio maana mnakimbilia kila miradi kuweka majina yenu
jaribu kutumia akili!!huyo shujaa wenu alikuwa akiamka tu ana kuja na li mradi huku pesa anategea kukopa,sasa amekufa yale mi miradi ndio kwanza yameanza hizo pesa za kuyamaliza zinatoka wapi hapo hapo mama aanze miradi mipya?!!ila MUNGU FUNDIAwamu hii imeanzisha mradi upi mpya mbali na ujenzi wa daraja la Bil 7😳😳?
Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Magufuli ana mradi kama upi?Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Kaa kimya ili watu wasijuwe upumbavu wako. Hakuna miradi ya mtu au kiongozi binafsi Tanzania Bali ni miradi ya Taiga.Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Huu nao ni ujinga mwingine,nani anatumia fedha yake ya mfukoni?nchi inaujinga sana kwani magufuli alikuja na pesa au mradi.hivo ni vitu vya serikali na wananchi.ndio maana mnakimbilia kila miradi kuweka majina yenu
Sami siyo limbukeni kama jpm ambaye alikuwa tayari kuzindua hata vyoo vya mtu kuanza.Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Maendeleo siyo miradi tu dogo ambgo Haina faida hata kidogo. Samia amejikita kukuza welfare za watu siyo vitu.Awamu hii imeanzisha mradi upi mpya mbali na ujenzi wa daraja la Bil 7😳😳?
Kwani kasema uongo? Au wewe ni mmojawapo wa wahuni😂. Maana na wao akisifiwa magufuli wanapandwa mdudu kichwani.😆Hivi huwa unaandika kwa kutumia kichwa kweli au makalio??hebu uwe unatumia akili walau kidogo kuliko kuandika UHARO JF