kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Shika adabu wewe mhuni.Sami siyo limbukeni kama jpm ambaye alikuwa tayari kuzindua hata vyoo vya mtu kuanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shika adabu wewe mhuni.Sami siyo limbukeni kama jpm ambaye alikuwa tayari kuzindua hata vyoo vya mtu kuanza.
Kumbe, na sawa.jaribu kutumia akili!!huyo shujaa wenu alikuwa akiamka tu ana kuja na li mradi huku pesa anategea kukopa,sasa amekufa yale mi miradi ndio kwanza yameanza hizo pesa za kuyamaliza zinatoka wapi hapo hapo mama aanze miradi mipya?!!ila MUNGU FUNDI
Tunapongeza miradi ya mtangulizi kumaliziwa,Hizo ni fikra zako tu mkuu, kiukweli furaha nikuona miradi yote inaendelezwa na ndicho mh. Rais anachokifanya mpaka Sasa Hakuna mradi uliosimamama. Hongera Sana kwa Dr. SSH🇹🇿
We unataka kila awamu ianzishe mradi mpya!?..kichwani umejaza nini!?Awamu hii imeanzisha mradi upi mpya mbali na ujenzi wa daraja la Bil 7😳😳?
si ujibu hoja kwa hoja matusi ya nini?matusi ni dalili ya kushindwa kujibu hoja hivyo kumzuia mtoa hoja kuendelea na hoja yake.Hivi huwa unaandika kwa kutumia kichwa kweli au makalio??hebu uwe unatumia akili walau kidogo kuliko kuandika UHARO JF
Si lazima ianzishe miradi mipya,We unataka kila awamu ianzishe mradi mpya!?..kichwani umejaza nini!?
Kwani unahangaika hivyo kwa jambo ambalo hata huna uhakika nalo. Dkt. SSH hahitaji mkongojo kusimama. Amesimama mwenyewe bila kiegemeo. TuliaRais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Mbona hueleweki!!Si lazima ianzishe miradi mipya,
Nimeona na kujiridhisha na ukarabati wanaofanya ktk Barabara zetu chini ya tanroads ktk baadhi ya majiji,
Lami inayowekwa ni THICK,kiwango Cha juu tofauti na ukarabati wa zamani walitumia brush na mifagio kusambaza lami.
Tunapoikosoa Serikali usidhani tunawachukia HAPANA,
Tunataka waongeze UFANISI.
Ninaipenda sana Nchi yangu Tanzania,
Mungu awabariki viongozi wetu,
Ameen.
Rudia tena utaelewa,Mbona hueleweki!!
Wengi waliomshangilia walikuwa hawajutambui. Yule alikokuwa anaelekea Nchi ingeharibika vibaya sana. Acheni MUNGU aitwe MUNGU.Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Penye UKWELI Usemwe Magu alisababisha ukifika muda wa taarifa ya habari hata kama hujafika home unapack kusikiliza jembe amefanya tukio Gani.Wengi waliomshangilia walikuwa hawajutambui. Yule alikokuwa anaelekea Nchi ingeharibika vibaya sana. Acheni MUNGU aitwe MUNGU.
Ulilalama Samia hajaanzisha miradi mipya..Sasa nashangaa unapuyanga tu nje ya hojaPenye UKWELI tutasema,
Viongozi wakikosea tutawaambia warudi ktk mstari.
Yote hayo ni kutafuta Ufanisi na kuwasemea wasio na sauti.
Bt Tunamshukuru Mungu Kwa Marais tuliowahi kuwapata tangu Uhuru.
Wametufikisha hapa tulipo tukiwa wamoja.
Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Meli ni kitu kidogo sana kwa Rais. Wanataka afuate tabia za mtangulizi wake za kwenda kufungua miradi ambayo ingeweza kufunguliwa na hata Mtendaji wa kata ( visima vifupi vya maji, madaraja ya waenda kwa miguu, etc).Kumbe hakuhudhuria?
Labda safari ya kuja mza inachosha, aliamua apumzike!!
Penye UKWELI Usemwe Magu alisababisha ukifika muda wa taarifa ya habari hata kama hujafika home unapack kusikiliza jembe amefanya tukio Gani.
Alipendwa na wananchi tukubali UKWELI.
Kuzuia watu wasiseme ndo kosa baya alofanya.
Kuna mwandishi aitwaye gurumo alisema Eti watu waliokusanyika kumlilia Nchi nzima walilipwa, chuki za namna hii hazijengi.
Hapo kwenya kuiba sanduku la kura alikosea sana hata mm sikufurahia.Kama kuna kipindi nilipuuza kutazama TV na kusikiliza redio ni kipindi cha Magufuli. Hadi sasa sina muda wa kusikiliza tena media hizo. Kama kweli Magufuli alipendwa kama unavyotaka tuamini, angeheshimu uchaguzi, maana uchaguzi ndio ilikuwa kipimo halisi cha kupendwa kwake.
Mtateseka mnoo 🤣🤣 but imeisha hiyoo, watu wanaendelea na maisha na kula mema ya nchi!! Zama zenu zimepita muacheni Rais afanye kazi! In Happi voice 🤣🤣🤣🤣Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Ndiyo wewe na kundi lako mnavyoamini🤔Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa