Habari kuu usiku wa leo
Kitendo Cha rais wa Tanzania Samia suluhu Hassan kusema kuwa wanawake wachezaji wa soka wanakuwa na vifua tambalale na sura ngumu na kutovutia kuolewa zimezua minong'ono ya kutaka aombe msamaha kwa kuwadhlilisha wanawake hasusani wachezaji wa soka BBC imeandika
Jana wakati rais akiwapokea wachezaji wa soka ikulu alizua gumzo ya nini huwaanapanga Kama alidhamilia kuongea au ulimi uliteleza kwa kuwa yeye ni mwanamke hakupaswa kuongea vile tena kwenye sherehe ya wacheza soka wanaume tu.
My take .
naona BBC nao wameanza Vita na rais wetu Kama walivyokuwa na magufuli hii inaprove wrong wale waliosema kuwa BBC hasa idhaa ya kiswahili imejaa mashekhe hivyo hawatamuandama mama.
USSR
View attachment 1905388