Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

sio kidogo, ndogo. Na hayo umesema wewe. Wewe rais huyu harembeshi anasema kinachoonekana, ninyi ndo wanafki wa kutoa sifa za uongo. Ko ulitaka rais awadanganye au awafariji kuwa wao ni wazuri sio?
Umesoma habari BBC ,Sasa wap kuna unafki ,ishu ni hayo maneno kutamkwa na rais hata kama ni kweli ila haikufaa ndio nikasema huu uzi sio wa vichwa panzi kama wewe

USSR
 
29 Apr 2020

Magoli aliyofunga Donisia Minja nyota wa Timu ya Taifa ya Wanawake

Haya ni miongoni mwa magoli aliyofunga Donisia Minja nyota wa Timu ya Taifa ya Wanawake
Source : TFF TV
 
Rais kasema ukweli wengi majike dume
na hasa kwenu wanawake msipokaa nao chonjo hao wanaojifanya majike dume, watakubananisheni hata kune kona ya ukuta wakutwangeni msago vilivyo maana nao hawarembeshagi kwa warembowarembo.
 
I thought she had more exposure than late Magufuli, more organized and articulate in her speeches. But, I was wrong.

It's a shame for the President not to know what is and isn't politically correct to speak in public.

She has to apologize for her derogatory remarks concerning women footballers.
 
Yeye aliwataka TFF wazingatie maslahi ya hawa madada ,Maana wanafanya jitihada ya kuleta vikombe lakini hawanufaiki na chochote tofauti na timu ya wanaume wamepewa mpaka viwanja.

Taasisi yake ilionesha mfano wowote?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona hao ni wanaume kabisa tena wamekomaa had vigimbi acheni unafiki bana ulishawahi ona team ya wanawake ya Eritrea, ethiopoa au burundi ni warembo kabisa, ndio maana Olympic hawa wachezaji wasingeshiriki maana wangekuwa na high level ya hormones za kiume, hata wakiolewa wanaweza kuwageuza waume zao bure
 
Kwenye hiyo timu hakuna mke wa mtu hata mmoja mwenye ndoa ya ke angalau wawili kwa me moja?
 
Back
Top Bottom