Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Siyo kuwa hawana maziwa; ila maziwa yao siyo makubwa sana na huwa wameyafunga kwa viblauzi fulani ili yasiwe mzigo kwao wanapokuwa michezoni.
..Ni kweli kuna blauzi maalum kwa ajili ya wanariadha wa kike.

..Nilitegemea Rais atakuwa na upeo mkubwa kuhusu jinsia ya kike kuliko alivyozungumza ktk hotuba yake.
 
She has aired out, what the world can see, itself, though she is burdened, a shifted blame. I like her for standing the truth this time.
 
She has aired out, what the world can see, itself, though she is burdened, a shifted blame. I like her for standing the truth this time.
You're using a lot of meaningless words in a disjointed pattern.

To you and to the one you admire, shaming specific individuals in public is what represents "standing the truth"? whatever that means!
 
Rais mzima anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?

This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy.

I’m at a loss for words!!


Ni kweli Samia siyo sawa na John. Samia ni mwanamke na John alikuwa mwanaume. Samia ni rais wa sasa na John ni rais wa zamani. Samia yu hai wakati John ni hayati. Samia ni Mzenj wakati John alikuwa mbara. Samia ni Muislam wakati John alikuwa Mkristo. Samia siyo daktari wakati Magufuli alikuwa daktari. Samia ni mpole wakati Magufuli alikuwa mkali. Samia aliwahi kuwa makamu wa rais wakati John aliwahi kuwa waziri. Samia anapenda kutumia utani wakati John alikuwa akiutumia mara chache,
 



Rais dunderhead!

Sifa ya kuolewa sio mtindi na sura laini

Na si kila mwanamke anataka kutoka kwa kuolewa

Mtindi na sura nzuri hawajazipoteza kwenye mpira

Na hakuna mama duniani atamwambia kijana wake aisee huyo mchumba wako anafanana kama mwanamme mwenzio

Tumepata kiongozi duncehead
 
Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?

This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy.

I’m at a loss for words!!
View attachment 1905556
Raisi ameongelea madhara ya michezo ya nguvu kwa "urembo"wa wanawake, alichokisema ni kweli, watoto wa kike michezo(kwa huku Bongo), inawafanya wanakakamaa kama madume

Hii inabidi iwafikirishe wadau wote, mbona ulaya wachezaji wanakuwa warembo sana, kwanini sisi tu, je Kuna treatment wachezaji wetu wakike wanakosa mpaka wanakakamaa hivi!?

Hiyo ndio hoja tuache unafiki.
Mchezaji wa kike bongo anakuwa amekomaa kama dume, uzuri wa Titi wote unapotea, msambwanda unapotea, lakini ukiangalia wale wa ulaya, Wana ngozi laini, ni warembo, wazuri, wanavutia sie tunashindwa wapi.
 
Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?

This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy.

I’m at a loss for words!!
View attachment 1905556


NN, Ngosha, embu icheze tena na urudie rudie umsikilize anachosema; mimi naona maneno hakuyapanga vizuri tu alichotaka kuzungumzia lakini inawezekana amesema kitu ambacho watu wengine wamekuwa wakikifiria. Anauliza maslahi ya hawa kina mama ambao wamejitoa kucheza hii michezo na kuachana na kujipendezesha kama watoto wa kike huko mbeleni yanakuwaje? Si unawaona kina Rapinoe? Wanavyohangaika kupata "equal treatment" na timu ya wanaume ya soka. Nadhani kuna overreaction fulani hapa. My 50 cents.
 
Jana nimeona ametangaza kujenga vituo vya afya nchi nzima zaidi ya 180 na pesa tayari zimetumwa huko kwenye lower levels.
Ubaya ni kwamba hizo hela zitaishia kuliwa tu; na watakaozila hawatafanywa cho chote. Akina Kigwangalla si wapo tu wanadunda? Subiri ripoti ya CAG ijayo utaona! [emoji51][emoji51][emoji51][emoji83][emoji83][emoji83]
 
Kwa wenye akili na kuona mbali, mama ana pwenti kubwa tu.
Samia kaongea ukweli kwa sisi waafrika tunapenda Nini kwa wanawake. Msambwanda na kifua kijae.

Kasema Hawa wachezaji wako flat na huenda ikawa mgumu kuolewa baada ya kustaafu kucheza mpira hivyo mamlaka ziwatunze baada ya kustaafu maana wameleta sifa kwa taifa.

Kwakuwa Ni rais hii komenti inatafsiriwa tofauti Kila watu na Hadi zao.

Wazungu wanaocheza football wanapendeza Sana wako Safi kiafya na wao wanapenda vimbaombao.

Samia kasema ukweli wasiotaka kuusikia.
 
I thought she had more exposure than late Magufuli, more organized and articulate in her speeches. But, I was wrong.

It's a shame for the President not to know what is and isn't politically correct to speak in public.

She has to apologize for her derogatory remarks concerning women footballers.
Hizo ni gaffes za kisiasa ambazo viongozi wote wanazo. Mnamtaka Rais wa nchi awe na uwezo wa kutokukosea? Amekuwa Mungu?

Halafu beyond hizo gaffes sometimes tuwe na uwezo wa kutathmini kile kilichomsukuma Rais kusema hivyo. Rais alikuwa anaempathize na footballers wa kike, kwamba kama watoto wa kike kuolewa pia ni ndoto yao. Lakini talanta yao ya mpira imewanyima qualities za kuoleka kirahisi hivyo kama nchi tunapaswa kuwareward wachezaji hawa wa kike ipasavyo wasije kupoteza kotekote.

Nia iliyomtuma kusema hayo nu njema, ila choice ya maneno aliyoyatumia ni mbovu. Basi.
 
Halafu hapo alipokuwa anazungumza kuna watu walimpigia makofi!!

Maajabu!!
Ni kweli, point yake alishindwa kuipangilia. Alikuwa anahimiza mamlaka ziwatunze Hawa wachezaji baada ya kustaafu maana huko mbele watakutana na changamoto nyingi ikiwamo kutokuelewa

Ila alikosea kusema kwamba watakuwa hawavutii maana wako Kama wanaume na hawana msambwanda wa kifua kujaa amabyo Ni mahitaji ya sisi wanaume wa kiafrika.
Refer uzi kule jamii photos uone wanawake wanaonesha msambwanda Kila picha.
 
Back
Top Bottom