Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Mpira usiwakoseshe raha nyingine ya kiasili bana, Mama kaliona hilo
 
hapana kaka rudi kaangalie tena clip vizuri inaonekana ulikuwa una foward bila umakini wowote, alikuwa anajaribu kuwakingia kifua ili mbeleni wawe na maisha bora
Kweli lengo lake lilikuwa zuri tatizo Ni sababu aliyoitoa ya kuwakingia kifua kwamba hawavutii kwa wanaume na ukiwaweka na wanaume huwezi tofautisha! Hapo kakosea.
 
..
Screenshot_20210824-074314~2.jpg
 
Hakuna cha shame wala embarrassment sasa si amesema ukweli!? wanawake wanaharibika wakidumu huko kwenye mpira ule muonekano wa kike unapotea ndio rais anachozungumzia.
 
Hizo ni gaffes za kisiasa ambazo viongozi wote wanazo. Mnamtaka Rais wa nchi awe na uwezo wa kutokukosea? Amekuwa Mungu?

Halafu beyond hizo gaffes sometimes tuwe na uwezo wa kutathmini kile kilichomsukuma Rais kusema hivyo. Rais alikuwa anaempathize na footballers wa kike, kwamba kama watoto wa kike kuolewa pia ni ndoto yao. Lakini talanta yao ya mpira imewanyima qualities za kuoleka kirahisi hivyo kama nchi tunapaswa kuwareward wachezaji hawa wa kike ipasavyo wasije kupoteza kotekote.

Nia iliyomtuma kusema hayo nu njema, ila choice ya maneno aliyoyatumia ni mbovu. Basi.
Rais hana wasaidizi wa kupitia "hotuba" zake kabla ya kuongea?

Ukiwa Rais wa nchi ni lazima ujue au uwe na msaidizi atakayekusaidia kujua nini uongee na nini hakifai kuongelewa kwenye hotuba.
 
Mbo

Mbona dharau Sana yaani anaongoea Kama hakujiandaa. Matiti si qualifications za ndoa.
"If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his language, that goes to his heart." Nelson Mandela
===
Nasubiri msemo wako wa "If you talk to a woman in a language she understands......."
xxxxxx
Mwacheni Mama kwanza!
 
Habari kuu usiku wa leo

Kitendo Cha Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kusema kuwa wanawake wachezaji wa soka wanakuwa na vifua tambalale na sura ngumu na kutovutia kuolewa zimezua minong'ono ya kutaka aombe msamaha kwa kuwadhlilisha wanawake hasusani wachezaji wa soka BBC imeandika

Jana wakati Rais akiwapokea wachezaji wa soka Ikulu alizua gumzo ya nini huwa anapanga Kama alidhamilia kuongea au ulimi uliteleza kwa kuwa yeye ni mwanamke hakupaswa kuongea vile tena kwenye sherehe ya wacheza soka wanaume tu.

My take .
Naona BBC nao wameanza Vita na rais wetu Kama walivyokuwa na Magufuli hii inaprove wrong wale waliosema kuwa BBC hasa idhaa ya Kiswahili imejaa mashekhe hivyo hawatamuandama mama.

USSRView attachment 1905388
View attachment 1905561
I
images.jpeg
 
Yaan hapo ni udhalilishaji wa hali ya juu,

Kila mtu huchagua kile kimfaacho, kumsema binti mwanamichezo ati ana flatchest na amekakamaa kama mwanaume hatoweza kuolewa ni dhahiri shahiri hapendi wanawake wawe wana michezo lakini pia wajihisi wao ni wabaya na hawapendezi machoni mwa watu, (Psychological Torture)

Mama hapo amekosea sana, hakupaswa atoe comment ya namna hiyo kwa wanawake wenzie, Ndoa ni sharia lakini sio lazima kwa baadhi ya wengine.
I couldn't agree more. Madam President amechemka mbaya.
 
Oya nmemuelewa hapa president mbali na michezo anawatzama kwa jicho LA tatu watapotea mmezoea kusifiwa et demu anamsuli km vandame nan amuoe
 
Back
Top Bottom