Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Mama kapotoka sana kama ndo kasema hivyo,
Aombe radhi au atafisiri alichomaanisha
Kuna mambo ambayo haifai kusema mtu , ulemavu na maumbile ya mtu ni mojawapo
Viko nje uwezo wa binadamu
Unaweza kumsema mtu kuhusu tabia yake ili abadilike lakini sio sura au rangi yake
Kuna mambo ambayo kiongozi hapaswi kuyasema hadharani