Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Nimechagua kuishi, hivyo, siwezi kumwambia unayotaka wewe nimwambie.Unaaanza mbaaaliiii. Si umuambie tuuuu.
Damn!
Hivi Mahakama aliipeleka kuzimu?Kumbe ulikua umekwepa kodi
Dhihaka ni jadi yenu....Malkia wa tozo
Rais hakosei.Mfundisheni rais wenu kuwa sio kila kitu ni chakuongea in public. Hata kama anaona anachoongea kinaweza kuwa na maana fulani lakini aangalie muda na mahali anapoongelea.
Ngoja feminists wamtafune kwanza.
Yawezekana kaanza za Magufuli, kuongea bila kusoma. Akumbuke aliwahi kusema matokeo yake ya f4 hayakuwa mazuri.Ni kweli kabisa alisema hayo maneno. Akiwa kama kiongozi wa nchi, tena Mwanamke hakupaswa kabisa kutamka hayo maneno dhidi ya Wanawake wenzake tena mbele ya vijana wa Kiume.
Kauli tata za viongozi huwa zinaleta ukakasi sana hasa kwa Wazungu. Kumbukeni yule Kiongozi wa Olympic kule Japan alivyoshambuliwa mpaka akajiuzulu baada ya kusema "wanawake wana ongea sana".
Kwa maneno hayo hata kama yalikuwa na ukweli lakini yalichukuliwa kuwa ni dharau kwa wanawake.
Sasa Madam SSH naye amesikika akisema, "wachezaji wanawake wanasura ngumu sana, ukimpeleka nyumbani Bi mkubwa atakushangaa na kukuuliza huyu ni mwanaume mwenzio au mwanamke"?
Ki ukweli Madam alikosea sana kusema hivyo. Naamini ataomba radhi maana Wazungu watamshikia bango mbaya. Ingekuwa ni nchi za wenzetu angeshajiuzulu.
Tutarajie FIFA womens org kutoa tamko kali sana kulaani matamshi ya Madam President SSH.
Swali la kujiuliza, hakuna watu wa kumwandikia hotuba Rais Samia?????
Ukweli wa kudhalilisha. Wakijazana matiti kifuani wataweza kukimbia na kucheza? Binadamu wote wana maumbile sawa? Rais mdomo ulikosa break na kuanza mipasho kwa wasichana ambao hawajamsema.mkuu unalalama nini? kama sio chuki binafsi ni nini? madam president kasema kweli. Hata mimi napenda mwanamke mwenye umbile la kike kweli, awe mlaini, amefungasha vyote titi na tako kubwa, ongeza na weupe na sio mimi tu, asilimia kubwa ya wanaume tunapenda hivo tusidanganyane tuwe tu wakweli kama rais alivosema ukweli.
Hivi akijitokeza mtu anaemfahamu tangu ujana wake na kuelezea ukweli wa yote aliyoyafanya atafurahi? Usimtetee mh, kateleza.ndio hata wao wanajijua ni wabaya, ndo maana wanafight . Watafte pesa ili wapate wanaume wa kuwaoa vinginevyo wataolewa wazuri tuu. Rais sio mnafki kasema ukweli, ninyi mnawafariji.
Kama yeye mana kalibeba haswa size 45Anataka wote wajazie mtindi kama nani vile
Hivi Shh ana mvuto gani?Hivi akijitokeza mtu anaemfahamu tangu ujana wake na kuelezea ukweli wa yote aliyoyafanya atafurahi? Usimtetee mh, kateleza.
Fanya group discussion kwenu uje na jibu!Kwani huyu kasema anataka wanawake wa aina gani?
USSR
Noma sana...Maza alitaka kugusia issue ya kusagana lakini uwakilishi wa maneno yake ni dharau na inakatisha tamaa watoto wenye vipaji na wenye nyonyo ndogo.Mbona yeye ana bonge na mtindi umemzidi uzito wake, ipo siku ataanguka kwenye ngazi za ndege yetu.