Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Comment ya mwisho kabla hii ya kwako, ilikuwa ni May 4, 2022. Karibu miaka miwili iliyopita.

Ni nani huyo unayemuuliza kwa nini kalifukua kaburi?
Kuna mtu kafuta sadly sikumbuki username yake, Ali comment nukta (dots) kadhaa.

Nimeuliza hivyo kwa comment yangu maana uzi umekuja ghafla sana kwenye page yangu.
 
Hajakosea ingawa ni mipasho hiyo!
Binafsi nachukia wanawake kushiriki mpira wa miguu.
Hata hivyoi kwa kuzingatia presidential status yake asingeyasema maneno hayo in public.
 
Kuna nini kinaendelea mpaka samia apigwe vita kiasi hiki? Maana hapo nyuma kumekuwa na utulivu sana. Au kuna mabeberu wemenyimwa contract fulani fulani sasa wanaanza kurusha makombora?
 
Labda niwe tofauti kidogo hapa kuhusu huyu bibi hasa hizi allegations za usagaji.

Simkubali huyu bibi kiutendaji na anapwaya sana, ila hili la usagaji watakuwa wanamfanyia tu "mudslinging" biologically umri wa kujaribu vitu vingi iwe vizuri au vibaya ni kipindi cha balehe sasa anaopewa allegations za kusagana nao ni almost wenye umri sawa na wanae and now she is approaching 65 na kipindi cha puberty hao tunaombiwa amesagana nao ana uwezo wa kuwazaa kabisa na wengine akiwa na 21 walikua hawajazaliwa sasa how can this be possible leo wasagane na kibibi kilichofika menopause wao wakiwa ndio active sexually! Something is not adding up here.

Hapa Mange kachemka mengine yote aliyotaja yako sasa ila hili hapana , Samia nitamkosoa kwa incomptence yake kiutendaji maana hakuwahi kujiandaa kuwa rais (aliwahi kusema mwenyewe) na kwa hakika viatu hivi vinampwaya sana na mwanzoni kabisa alisema hatogombea 2025 baadae watu wakapigwa mkwara waseme walikosea japo ilichapishwa kwenye magazeti ya CCM ila apumzike tu 2025 na CCM ikitokea wakamsimamisha huyu mama 2025 kitu ambacho ni kigumu pia basi wajiandae kuwa na uchafuzi mkuu zaidi ya 2020.
photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
 
Muanzisha mada umeshindwa kukaanalo mpaka uyalete humu! Huo ndio uanaume!
 
Back
Top Bottom