Akili fupi kaka kisoda! Kwani soka huchezwa Tanzania tu? Ukizungumzia maumbile unakuwa umevuka mipaka. Kwani wanawake wabaya au wazuri wako Tanzania tu??
Umeaibisha hata ufahamu wako!! Mwanamke sio wa kusema wanawake wengine ni wabaya. Na mwanamke sio mzungumzaji wa wanaume kuwa matiti ni dili sana katika kuolewa!!
Rais amejishushia heshima kuona mambo kwa mtazamo wa kuolewa kama ni big deal! Kuna wenye maziwa makubwa na hawaolewi vilevile na wala hawachezi soka. Je Rais anaweza kutupa sasabu????