Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Yaani naomba kuuliza Mama Katumia Kabisa neno ' Kifua Tambarare' au Wewe Umeongeza Chumvi? Kama amelitumia hilo neno atakuwa Amewaumiza wengi....ooi ..oooi Mama amevuka mipaka !!
 
Tatizo la ccm, mwenyekiti wao hata ajambe wao wanajilamba tu. Nyie mapunguani sijapata kuona, huwezi kuongea lugha ya kudhalilisha kiasi hicho uachwe tu
Hata ukigongewa mke utasema ni CCM

USSR
 
Yaani naomba kuuliza Mama Katumia Kabisa neno ' Kifua Tambarare' au Wewe Umeongeza Chumvi? Kama amelitumia hilo neno atakuwa Amewaumiza wengi....ooi ..oooi Mama amevuka mipaka !!
Sama hapa'flat chests'au English inakupa tabu

USSR
 
mkuu mbona unapaniki? au na wewe ni mwanamke wa dizaini hiyo? rais amekugusa? amekutachi penyewe ukikasirika hama chama ulazimishwi, ukweli mchungu, ukweli unauma.
 
mkuu unalalama nini? kama sio chuki binafsi ni nini? madam president kasema kweli. Hata mimi napenda mwanamke mwenye umbile la kike kweli, awe mlaini, amefungasha vyote titi na tako kubwa, ongeza na weupe na sio mimi tu, asilimia kubwa ya wanaume tunapenda hivo tusidanganyane tuwe tu wakweli kama rais alivosema ukweli.
 
Tuache siasa chafu aliyetoka alisema anapenda wanawake weupe na hakuna aliyesema neno. Life goes on.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
mkuu mbona unapaniki? au na wewe ni mwanamke wa dizaini hiyo? rais amekugusa? amekutachi penyewe ukikasirika hama chama ulazimishwi, ukweli mchungu, ukweli unauma.
Unaakili kidogo Sana ,bahati mbaya huu sio

USSR
 
Ukweli gani dhidi ya wanao ?! Anaweza akawabadili ?! Mambo mengine yasemwe mitaani tena na washabiki siyo viongozi.
ndio hata wao wanajijua ni wabaya, ndo maana wanafight . Watafte pesa ili wapate wanaume wa kuwaoa vinginevyo wataolewa wazuri tuu. Rais sio mnafki kasema ukweli, ninyi mnawafariji.
 
Unaakili kidogo Sana ,bahati mbaya huu sio Uzi wa vilaza

USSR
sio kidogo, ndogo. Na hayo umesema wewe. Wewe rais huyu harembeshi anasema kinachoonekana, ninyi ndo wanafki wa kutoa sifa za uongo. Ko ulitaka rais awadanganye au awafariji kuwa wao ni wazuri sio?
 
ndio hata wao wanajijua ni wabaya, ndo maana wanafight . Watafte pesa ili wapate wanaume wa kuwaoa vinginevyo wataolewa wazuri tuu. Rais sio mnafki kasema ukweli, ninyi mnawafariji.
Samahani kusema "HUNA AKILI". Hao mabinti wa vitu ambavyo anayewabeza hana . And that's talent

Mambo ya sura kama kichwani kutupu faida gani ?!
 
Ndugu unaelewa nini kuhusu diplomacy and International relations??

Kibongo bongo, hiyo kauli ya Madam itaonekana ni sawa lakini kwa nchi za wenzetu hasa Ulaya hiyo kauli ni tusi zito kwa Wanawake na wataichukulia very serious.
 
MAGOLI YOTE TISA: TANZANIA BARA 9-0 SUDAN KUSINI (CECAFA WOMEN'S CHELLENGE - 16/11/2019)

Timu zetu zinafanya vizuri kikanda na kimataifa lakini Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ameamua kuzibeza pamoja ya kuwa wanatuwakilisha vyema

Sasa wafanye Je ?!. Ni maumbo waliopewa na Mwenyezi Mungu !!. Wajiumbe upya ?!

Kusema Jambo ambalo huwezi kulirekebishi ni upungufu nao . Wafanye Je !!
Yeye aliwataka TFF wazingatie maslahi ya hawa madada ,Maana wanafanya jitihada ya kuleta vikombe lakini hawanufaiki na chochote tofauti na timu ya wanaume wamepewa mpaka viwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…