- Thread starter
- #41
Nchi za watu angevaliwa njuga mpk ang'oke mamlakaniNi kosa kubwa kiongozi kusema uongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi za watu angevaliwa njuga mpk ang'oke mamlakaniNi kosa kubwa kiongozi kusema uongo.
Acheni uvivu,fanyeni kazi.Watu wavivu kwa kulalamika,hamuwezekani.
Kama hutaki Kazi achaRais Samia amejizolea umaarufu kwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini.
1. Rais Samia ktk hotuba yake ya kwanza aliyoitoa bungeni aliahidi kukaa na viongozi wa vyama vya upinzani lkn mpk leo hajafanya hivyo. Badala yake anakutana na mmoja mmoja badala ya ya kufanya nao kikao cha pamoja. Hadi sasa amekutana na viongozi 3 tu. (Alitudanganya).
2. Wakati wa mazishi ya mwendazake, aliahidi kumalizia miradi yote aliyoianzisha mwendazake kama ilivyopangwa. Lkn sote tunajua kasi ilivyopungua ya utekelezaji wa miradi hiyo. Na mingine imesimama kabisa. (Alitudanganya).
3. Ktk hotuba yake Mei Mosi ya mwaka huu (2022) alituahidi watanzania kuwa ataongeza mishara kwa watumishi wa umma serikalini kwa 23%. Lkn tangu jana mitandaoni kuna malalamiko ya wafanyakazi kuwa wamepigwa changa la macho. (Alitudanganya).
Tabia hii inajenga hasira kwa watanzania na kuona kama rais anawachezesha shere.
Hayo mawili nakuunga mkono lkn la miradi aliyoanzisha jiwe wacha itelekezwe tuRais Samia amejizolea umaarufu kwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini.
1. Rais Samia ktk hotuba yake ya kwanza aliyoitoa bungeni aliahidi kukaa na viongozi wa vyama vya upinzani lkn mpk leo hajafanya hivyo. Badala yake anakutana na mmoja mmoja badala ya ya kufanya nao kikao cha pamoja. Hadi sasa amekutana na viongozi 3 tu. (Alitudanganya).
2. Wakati wa mazishi ya mwendazake, aliahidi kumalizia miradi yote aliyoianzisha mwendazake kama ilivyopangwa. Lkn sote tunajua kasi ilivyopungua ya utekelezaji wa miradi hiyo. Na mingine imesimama kabisa. (Alitudanganya).
3. Ktk hotuba yake Mei Mosi ya mwaka huu (2022) alituahidi watanzania kuwa ataongeza mishara kwa watumishi wa umma serikalini kwa 23%. Lkn tangu jana mitandaoni kuna malalamiko ya wafanyakazi kuwa wamepigwa changa la macho. (Alitudanganya).
Tabia hii inajenga hasira kwa watanzania na kuona kama rais anawachezesha shere.
Kwani sukuma gang washafanikisha project yao ?Mtu ambaye hatogombea 2025 ana wasiwasi gani ?
Hauna msambwanda alafu umechanja, hujui?Hayo mawili nakuunga mkono lkn la miradi aliyoanzisha jiwe wacha itelekezwe tu
Wewe usiye mvivu na huyo asiyejua kitu mmefanya kazi gani ya maana?Acheni uvivu,fanyeni kazi.Watu wavivu kwa kulalamika,hamuwezekani.