Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Akiri kisodaRais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli
Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi mipya iliyoanzishwa na Magufuli na Rais Samia Hana mradi wowote mpya aliouanzisha bali anatekeleza maoni, falsafa za Dr Magufuli
Miradi ya Umeme na SGR ni miradi ya kihistoria ambayo itakumbukwa vizazi hadi vizazi
Miundombinu ya nchi nzima yote hii 90% imejengwa na Magufuli akiwa Rais
Jamaa anaumwa cheki nyuzi zake zote ni za malalamiko tu.So what?