Rais Samia anashauriwa kutengua uteuzi wa Hassan Bomboko Haraka iwezekanavyo

Yaani kila kitu tu jitu linapinga ka lishetani tu
Zamani kwenye sheria za Dini zote waislam na wakristo
Wazinzi walikuwa wanapokea nawe mpaka kufa
Sasa ndio adhabu hii??
Bora mchawi kuliko kahaba
Kahaba ni mchawi anayetembea kea miguu mchana kweupe
Sera za cdm
 
naunga mkono.
nawashangaa baadhi ya wakuu wa wilaya na mikoa wanashangaaa tu. Safisheni biashara haramu ya ukahaba kwenye maeneo yenu.
biashara ya kuuza uchi ni kinyume na maadili yetu.
 
naunga mkono.
nawashangaa baadhi ya wakuu wa wilaya na mikoa wanashangaaa tu. Safisheni biashara haramu ya ukahaba kwenye maeneo yenu.
biashara ya kuuza uchi ni kinyume na maadili yetu.
Unaweza kuzuia sumu isifanye kazi kwa kuilamba?
 
Wewe umepewa lini hivyo virusi?
 
naunga mkono.
nawashangaa baadhi ya wakuu wa wilaya na mikoa wanashangaaa tu. Safisheni biashara haramu ya ukahaba kwenye maeneo yenu.
biashara ya kuuza uchi ni kinyume na maadili yetu.
Huwezi kamwe kumaliza tatizo la ukahaba kwa kuzunguka mitaani kukamata watu! Huo ni uongo na ni cheap politics hakuna kitu hapo.

Mngekua na akili mngeanza kwa kutafuta kiini cha tatizo la kwanini wadada wengi wanaona njia pekee ya kujipatia kipato ni kujiuza. Na hao walioko mitaani ni asilimia chini ya 10 ya wanaojiuza.
 
Sahihi.
 
Anataka kuhamisha Bahari ya Antaktica wakati anazaliwa ameikuta na atakufa ataiacha yaan huyu Mbuzi wa kafara anataka kuikausha Bahari ya Mediterranean wakati ilikuwepo tangu Mwaka 1 yaan tangu KK huko leo ni 2024 kitumbili kimoja kinajifanya kinataka kimshinde Yesu wakati Yesu mwenyewe aliwaacha waendelee akapita kusulubiwa
 
Kinachotakiwa afuate Sheria na hatuna Sheria inayokataza ukahaba.
Sasa kama serikali inaona hilo ni kosa basi itungwe Sheria ili wakamatwe kwa mujibu wa Sheria sio kwa mujibu wa hisia za mkuu wa Wilaya.
Ulishawahi kuona toka wameanza kukamatwa kuna mtu kashtakiwa kwa ukahaba na kufungwa??
Inamaana serikali miaka yote hawajaona kama kuna kosa ndio maana haitungwi Sheria kufanya hilo kuwa kosa.
Ukahaba ni kinyume na maadili ya wengi wa wananchi lakini sio kosa na serikali haijaona ni kosa sasa kuwakamata na kuwapiga picha huko kwenye maguest na huna pa kuwashtaki na hawana kosa kisheria unawafanyaje baada ya hapo zaidi ya kuwaachia.
Sasa wakikudai fidia utapaswa kusema uliwakamata kwa mujibu wa Sheria ipi waliyokua wakivunja.
 
hata hao malaya wakipigwa picha wanaficha sura zao wakijua kuwa matendo yao hayafai kwenye jamii.
tusiwachekee hawa nyau, waende wakalime. sio kuuza uchi.
 
Huwezi kuwakamata watu wazima wawili wakiwa kitandani kwa tuhuma za prostitution.
Wapo faragha, umeingia bila ruhusa yao kwa hiyo mwenye guest house na Police lazima wawalipe.
Sheria ni msumeno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…