Rais Samia anashauriwa kutengua uteuzi wa Hassan Bomboko Haraka iwezekanavyo

Mmekosa kazi za kufanya, kuna mtoto kakamatwa pale
 
Wilaya ya ubungo wanaojiuza watafute biashara nyingine wataendelea kukamatwa hakuna kula kwa dezo ,wenzao wanatembeza matunda,nguo,viatu,uji,nk mwendo wa spana tu
Wewe kweli ni Makal.....Wewe unaona wanakula kwa dezo na wewe tega hizo shimo hapo uone moto wake..Hacheni kumshangilia huyu Dc kwa kukosa kazi za kufanya anakimbilia Makahaba.
Tunataka viongozi wenye kuleta Maendeleo sio kutaka sifa...yaani huyu na kujipiga vipodozi anaweza pambana na Fupa lilomshinda Makamba snr?
 
Shida siyo Raisi. Shida kubwa ya kwanza na muhimu zaidi ni katiba ya vyama vyote yaani mpya . Nje ya hapo piga gitaa hadi nyuzi zikatike lakini halitasikika.
 
Acheni ujinga mnatetea dhambi ukahaba
Ukahaba ni dhambi, wewe aliyekuambia dhambi ni nani?

After all , ukahaba ni dhambi pekee hapo Tanzania;? aidha, kimsingi kama ni dhambi, ni nani mwenye jukumu la kuhukumu dhambi? Au umetumwa na Mungu wako kumsaidia kuhukumu dhambi maana yeye amechoka, stupid is as stupid does .

Among ya watu waliokamatwa, wengine walikamatwa kimakosa Na ni aibu kwa familia, hili unaliwekaji.

Ukahaba ni kazi, wasajiliwe na wawekewe mazingira mazuri si inawateja, na wateja ndio sisi ndio nyie, tujifunze perspective za maisha.

Wewe hapo ulipo, umekuwa Na watu wangapi kwenye mahusiano yako, weka idadi hapa nikuoneshe ukahaba wako

Dhambi dhambi mungu ni babako wewe au msaidizi wako , ?
 
Mkuu kwenye suala la "sugar gap" wamegusa maslahi ya watu wachache wenye mamlaka ndani ya mfumo rasmi. Hesabu imeshapigwa katika suala hili la biashara ya ukahaba ndani ya mfumo usiokuwa rasmi lakini ni "extra legal", na pia ni lenye kugusa maslahi ya wadau wengi sana!

Ukigusa maslahi ya mwenye mamlaka, ni lazima atayagusa ya kwako pia ili aweze kukutoa kwenye reli. Kashfa ya vibali vya sukari inahamishwa taratibu katika mijadala, na badala yake mijadala inahamia katika fukuzana hii mpya ya Tom & Jelly katika biashara ya udangaji.
 
Kwanza t
i am sorry by saying kwamba wewe ni mjinga! Are you she or he ?

By the way ….kazi halali ni ipi, ? Do you think unaweza kuzuia ukahaba kwa hizo operesheni mbuzi.

Ukahaba ni kazi halali na inapeleka watoto shule na kuna viongozi wengi serikalini walisomeshwa kwa wazaz wao kufanya Ukahaba either wa kujipanga njiani au wa kukaa nyumbani na kutumika kwa matumizi with cash . Wewe umechunguza ulikuaje kuaje?

Sasa kuwa na akili;
Kuna watoto wengi hawana madawati ubungo, kuna shida ya maji eneo la ubungo, na matukio mengi, ajikite huko kufanya maendeleo. Ukiona amefanya hilo tukio ujue hana kazi za kufanya. Kama serikali itamuacha hapo Ofisini, kuna tatizo kubwa ahead
Amedhalilisha watu , and some people might choose to do the same
 
Aisee
 
Huna Akili.

Hata developed countries wapo hao watu

Wekeni mazingira mazuri huwezi kupangianwatu nn cha kufanya for as long as hawafanyi offense .

Watanzania mpo kwenye kisiwa akili zenu ni ndogo sana
 
Hakika na seems hawana kazi za kufanya
 
Mh Samia, usimtengue, huyu Bomboko tunaye sana: Mnataka iwe ushindi kwa Mahahaba?
Nyumba ni madanguro na hazifanyi biashara za Guest house, sasa TRA waende wakadai EFD receipt siku ya ukamataji, waseme waliingia wateja wangapi na walilipa kiasi gani otherwise tuache upuuzi wa kudhalilisja wanawake, sasa hivi zinaa mnataka tuifanye halali, wadada wanauza "shoo" kwa elfu 2 kwa wanafunzi wa UDSM na elfu 5 kwa watumishi na madereva, hamuoni huruma?

#Bomboko tunaye sana.
 
Anatakiwa kulipa 36Bln na wakili kashangua shauri Mahakamani..
 
Cha ajabu alivyo mkatili ni wanawake wenzake wanadhalilishwa na yeye hasemi kitu yupo tu. Arusha Makonda amemdhalilisha afisa wa serikali mwanamke Samia yeye haikumgusa yupo tu, hivi anaweza kweli kulinda mali za nchi hii na Waarabu na wezi wengine wa kimataifa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…