Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Wabongo badala ya kutafuta ajira kwenye viwanda hivi wapo bize kumchokonoa Rais na mipango yake.

Kule Mtwara gesi inavunwa na urahisi wa kufanya biashara hiyo umeshawekwa na serikali, haya ni masuala yenye kutakiwa sisi kuyajadili kwa kina, mambo ya kimaendeleo.

Tunaendekeza siasa za kipuuzi ambazo ni sehemu ya kujaribu kuzivua hasira zetu za ndani tulizonazo.
Ni nyumbu wa Chadema ila Watanzania wako busy kuchangamkia fursa
 
Ni nyumbu wa Chadema ila Watanzania wako busy kuchangamkia fursa
Samia anajitahidi sana katika kubadili hali za kimaisha za Watanzania. Wale mabrotherman kina Makamba na Maharage walikosa mbinu za kupambana na mgao wa umeme akafanya la maana kuachana nao.

Leo umeme ni mwingi, maliasili ni nyingi na ipo kila mkoa ni sisi wenyewe kuchangamkoa hizi fursa za kimaendeleo.
 
Legacy ya Magufuri haiwezi kufutika! Inawezekana hayo ambayo Maza anayafanya ndiyo Magu angeyafanya kama angekuwa hai.
 
Legacy ya Magufuri haiwezi kufutika! Inawezekana hayo ambayo Maza anayafanya ndiyo Magu angeyafanya kama angekuwa hai.
Ange ni tofauti na Kufanya.Magu na uwekezaji wa biashara na viwanda wapi na wapi?

Si alikaa miaka 5 ukiona uwekezaji upi wa maana kama huu? 👇👇

View: https://youtu.be/cKdtZ8Ru-OM?si=FinkdjAlkEFnhznj

My Take: Kazi kubwa aliyofanya Mwendazake ni kutukuza wawekezaji na wafanyabiashara
 
Back
Top Bottom