Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Mama Samia anajitahidi sana na dunia ya biashara ulimwenguni inaliona sana. Sijui kwa nini watu hawalioni hili ya ajili ya siasa ya kugombania kiti. Kila aliposafiri uwekezaji na kutafuta masoko ya bidhaa za Tanzania export ni item 1 on mission.

Jameni mpigieni makofi kwa juhudi hizi👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
 
Back
Top Bottom