Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Ni nyumbu wa Chadema ila Watanzania wako busy kuchangamkia fursa
 
Ni nyumbu wa Chadema ila Watanzania wako busy kuchangamkia fursa
Samia anajitahidi sana katika kubadili hali za kimaisha za Watanzania. Wale mabrotherman kina Makamba na Maharage walikosa mbinu za kupambana na mgao wa umeme akafanya la maana kuachana nao.

Leo umeme ni mwingi, maliasili ni nyingi na ipo kila mkoa ni sisi wenyewe kuchangamkoa hizi fursa za kimaendeleo.
 
Legacy ya Magufuri haiwezi kufutika! Inawezekana hayo ambayo Maza anayafanya ndiyo Magu angeyafanya kama angekuwa hai.
 
Legacy ya Magufuri haiwezi kufutika! Inawezekana hayo ambayo Maza anayafanya ndiyo Magu angeyafanya kama angekuwa hai.
Ange ni tofauti na Kufanya.Magu na uwekezaji wa biashara na viwanda wapi na wapi?

Si alikaa miaka 5 ukiona uwekezaji upi wa maana kama huu? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/cKdtZ8Ru-OM?si=FinkdjAlkEFnhznj
My Take: Kazi kubwa aliyofanya Mwendazake ni kutukuza wawekezaji na wafanyabiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…