ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Jack Fen dah😂😂😂 .. Halafu Hicho kiwango dah😂😂😂 ngoja nikae kimyaAwamu ile nyingine hadithi na porojo zilikuwa nyingi sana kuhusu viwanda, ila wakaishia kuaibika kwa kusema vyerehani na vijiwe vya uchomeleaji ni viwanda.
Hilo halipo awamu ya 6, ni maneno na matendo kama inavyoonekana hapa chini. 👇