Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Awamu ile nyingine hadithi na porojo zilikuwa nyingi sana kuhusu viwanda, ila wakaishia kuaibika kwa kusema vyerehani na vijiwe vya uchomeleaji ni viwanda.

Hilo halipo awamu ya 6, ni maneno na matendo kama inavyoonekana hapa chini. 👇

View attachment 2338374View attachment 2338375View attachment 2338381
wewe ni mwanafunzi? Huyu kaingia mwaka 2021 Mwezi April badd ya kumpokea Magufuli. Investor kama hawa hawaanzi kama unavyofikiria wewe hawakurupuki. Inachkua miaka miwili hadi mitatu. Hapa mshindi na vision inatoka kwa JPM
 

View: https://www.instagram.com/p/C9eaCXxMZEZ/?igsh=MXF3eGRoaXd2M2dhbA==
wasafifm_1721115787285127.jpg
wasafifm_1721115787285424.jpg
wasafifm_172111578728585.jpg
wasafifm_1721115787285963.jpg
 
Back
Top Bottom