Rais Samia anatamani gwaride la 9 Desemba huku akiwahofia wazungu waliompa pesa za Covid-19

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Huku akitamani kukagua gwaride la 9 December Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameingiwa na wasiwasi wa ni namna gani wazungu waliompa pesa za Covid watamchukulia endapo ataandaa kusanyiko takatifu la kiwango kile la watu.

Duru za kweli kabisa zinatabanaisha kuwa huenda maadhimisho ya sherehe za uhuru wa Tanzania yasiwapo kwa hofu ya waliofadhili mabilioni ya shilingi ili Tanzania ipambane na Covid wataghadhabishwa kwalo.

Maoni yangu;
Cha mtu ni mavi!
 
Mkuu ,tafuta HELA.

Tumebakiza siku 53 mwaka uishe.

Ustangukize mihemko sana kwenye vitu usivyo vijua.
 
Acha hizi mambo...za udaku!
 
Sukuma gang mna wakati mgumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…