Rais Samia anatengenezewa shida/ugumu ili asigombee 2025?

Rais Samia anatengenezewa shida/ugumu ili asigombee 2025?

Kitu ambacho kwa sasa tunatafakari mkataba utakavyoumiza vijana wetu wajuu, hatutaki kelele.
 
Attachments

  • 69480.jpg
    69480.jpg
    14.9 KB · Views: 1
Kupiga marufuku mazao namuunga mkono...

La Bandari wanaompinga wote wanajua kabisa ukweli bandari hazijauzwa ...anabadilishwa muendeshaji kutoka Ticts aliekaa miaka 25 kuja huyo Dpworld...

Kilichopo ni fitina Tu za kisiasa..
Kampeni ya kumchafua asigombee 2025...
Polycarp Pengo +Dr Slaa na Mgombea wao wanaemtaka 2025...ndo wako behind ya hizi fitina..
Kumbuka anything happening Kwa Samia..anae rithi ni Philip Mpango...
Mkatoliki aliesomea seminary...
We are watching.....

Nyie mtu wa dini yenu akichemsha ni lazima mjitetee kwa udini! [emoji849] Sasa hapa kwa Samia dini inaingia vipi? Mpango ndiye aliyemwambia aingie mkataba na DP World? Acheni kuchonganisha watu.
 
Kupiga marufuku mazao namuunga mkono...

La Bandari wanaompinga wote wanajua kabisa ukweli bandari hazijauzwa ...anabadilishwa muendeshaji kutoka Ticts aliekaa miaka 25 kuja huyo Dpworld...

Kilichopo ni fitina Tu za kisiasa..
Kampeni ya kumchafua asigombee 2025...
Polycarp Pengo +Dr Slaa na Mgombea wao wanaemtaka 2025...ndo wako behind ya hizi fitina..
Kumbuka anything happening Kwa Samia..anae rithi ni Philip Mpango...
Mkatoliki aliesomea seminary...
We are watching.....
Comment ya hovyo kuwahi kuisoma kutoka kwako
 
Comment ya hovyo kuwahi kuisoma kutoka kwako
Huwa nashindwa kuelewa kwa waislamu kwa nini huwa wanahisi kuonewa sababu ya uislamu na si kitu kingine? Magufuli ma hata viongozi wengi wa wakristo wakitukanwa na kushambuliwa sijawahi kuona mtu anasema wanashambuliwa na kutukanwa sababu ni wakristo

Dini imetengenezea waumini wake kutojiamini
 
Back
Top Bottom