Rais Samia anaweza kutoa mhadhara Chuo kikuu cha Havard au Yale Marekani na dunia nzima ikasimama

Mwanzoni nilidhani watu wanakusingizia kumbe ni kweli..
Nilishakwambia siku nyingi kuwa mada zangu siyo saizi yako maana zilishakuzidi kimo cha akili na upeo wako.kwa hiyo ni bora ukae pembeni uache wenye akili wajadili hoja .
 
Kweli wewe ni mjinga sana.kwa hiyo asingeongoza na kuonyesha uwezo wake kiuongozi angefikaje hapo alipofika leo?
Kwahiyo kuwa kiongozi ndo kuwa na akili??

Aliongoza au alishinda wapi?... Chuma si ndo alimchukua tu?... Katiba ya CCM ndo ikamuweka pale?

Haya njoo utuambie aliongoza wapi tangu anasoma Bidudu hadi kuwa karani
 
Uwezo wake unaishia kuwasimamisha chawa na walamba asali wengine....baaasi
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 . Nani amemtaja Rais wa nchi hapa kama sio wewe?
Halafu waswahili walitufundisha mwenzako akinyolewa......Usidharau sana yanayoendelea leo ulimwengu mzima. Kwa namna fulani pia yanatuhusu.
Tusiwe waongo mpaka tunaanza kujidanganya wenyewe
 
Chawa Lucas Mwashambwa siku hizi huandiki namba ya simu ili kwenye mkeka ujao uwepo ukimfurahisha mpiga mwingi.
 
Kwahiyo kuwa kiongozi ndo kuwa na akili??

Aliongoza au alishinda wapi?... Chuma si ndo alimchukua tu?... Katiba ya CCM ndo ikamuweka pale?

Haya njoo utuambie aliongoza wapi tangu anasoma Bidudu hadi kuwa karani
Ungekuwa wewe na akili na uwezo basi ungepewa wewe.
 
Lucas Mwashambwa hapo kwenye kuisimamisha dunia ndiyo unaonekana dhahiri unamdhihaki Mh. Rais.
Kaa pembeni huko kama kifusi .maana wewe hujawahi kuwa na upendo wala uungaji mkono kwa Mheshimiwa Rais.wakati wote umekuwa mtu wa lugha chafu chafu tu kama mlevi wa gongo. Kwa hiyo ni bora ukae kimya tu mnafiki mkubwa wewe.
 
Utakuwa una matatizo ya lugha wewe, wapi nimetoa lugha chafu, au unafikiri Mh. Rais hataelewa kuwa unamkejeli kwa huu uzi wako wa kitoto, Waswahili wanasema akutukanaye hakuchagulii tusi. Shauri yako mwenyewe na kiherehere chako.
 
Nimesema wewe kaa pembeni na ujinga wako.maana siku zote umekuwa na lugha chafu kwa Mheshimiwa Rais.toa unafiki wako hapa wewe
 
Nimesema wewe kaa pembeni na ujinga wako.maana siku zote umekuwa na lugha chafu kwa Mheshimiwa Rais.toa unafiki wako hapa wewe
Weka hapa hata post yangu hata moja tu nimetoa lugha chafu kwa Rais, unaona umeyatimba sasa unataka kujipangusia kwangu. Wewe unafikiri ni mjanja utoe kejeli ya kiwango hiki kwa Rais halafu uachwe hivi hivi subiri uminywe korodani utie akili. Umeona teuzi zinakupita hivi hivi sasa unaleta matusi ya reja reja kwa Rais, utakomaje !!!
 
Mmmmh, aende akahojiwe na citizen ya Kenya, kwa, kizungu tuone kama anauwezo,
Rais wako anachoweza ni kuteua,kusafiri,na, kuzindua, na, kuuza, sura tu
 
Sina sababu ya kujibizana wala kubishana na wewe wakati najuwa huna akili .nikupoteza muda na nguvu zangu tu.wewe niwakupuuzwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…