Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

Hakuna jipya zaidi ya porojo tu...

Tanzania na Watanzania uamuzi uko kwenye mikono yao kuamua kukataa ujinga wa viongozi wa aina tuliyonayo.
 
Historia huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990.

Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.View attachment 2416036
Tulishauri mapema Sana,mwanzo anaingia alitakiwa hata kuvunja hata bunge nakuitisha uchaguzi upya hata migogoro ya akina Mdee yasingekuepo,

Wapo wabunge wa ccm ambao walipendwa kwenye majimbo ila walipigwa chini na mwenda zake kwa Sababu anazozijua yeye,

Unaweza kuwa mchezaji mzuri tu ila kama upo na Tim mbovu ni ngum kuonekana kama hu mchezaji mzuri
 
Mama kastuka team msoga wanamzunguka,lolote linaweza tokea
 
Binafsi sitegemei kuona lolote la maana kutoka kwa huyu mama yetu..
yawezekana anaomba baraka za CCM ili tukope zaidi kumalizia projects kubwa kubwa !! kwamba tusiogope madeni maana deni haliui wala halifungi mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…