Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

Umeelewa nini niliandika, nimesema kipindi anaingia , kwa sasa hatawezaje vunja Bunge,

Lakini pia akivunja baraza Mawaziri bora anawatoa wapi CHINI ya bunge hili
kati ya watu 200+ atakosa genuine 25 kuunda jipya.
 
kati ya watu 200+ atakosa genuine 25 kuunda jipya.
Nafikili kwanza atumie zile nafsi kumi ambazo anamamlaka nazo kuteua Watu makini ubunge then uwaziri kwenye Wizara nyeti,

Nishati na madini
Fedha
TAMISEMI
Utalii
Elim
Mambo ya nje

Then wengine ndo achukua shida not quantity shida ni quality
 
Sijaona sababu ya kuvunjwa baraza la mawaziri,yaliyopo yalishakuwepo hapo KABLA na hakuna kuvunjwa!!

Ajali zipo Sana hapa nchini na hakuna aliyevunja baraza la mawaziri!!

1.Mv Bukoba

2.ajali ya treni KIPINDI cha mkapa

3.

4.

Ongezea!!
 
Rais akitaka kuvunja baraza la mawaziri anaitisha mkutano? 😂😂😂😂😂😂😂
Tuonane hapa JF, leo baada ya saa 2 usiku, itakapokuwa imetolewa taarifa rasmi, ya nini kilichojiri kwenye kikao hicho cha Baraza la mawaziri😄
 
Hana uwezo wa kuvunja Baraza la Mawaziri kwasababu Mawaziri wengi ni Team Msoga.

Team Msoga ndio ilimsaidia sana kufika alipofika.

Hana mizizi iliyochimbia huku Tanganyika

Mwisho ni Mama,sifa kubwa za WaMama ni huruma,kulea,kubembeleza na kudekeza.
Hata hivyo hana options nyingi. Wengi waliomo Bungeni hawana sifa za kuwa mawaziri..... Kwa hiyo akitoa makapi anaweza makapi mengine.
 
Hakutakiwa endelea na watu wa Magufuli
Watu wa magufuli wepi? Si aliwatoa wote kina lukuvi kabudi kalemani polepole bashiru ndugai etc akaweka wakwake kina mikamba, michemba, bashi, nepi na yule mtoto wa bulicheka wa msoga? Sasa nini tena?? Hahahah
 
Lubunga Byaombe alipoacha BBC akapata kazi katika Tume ya Rais katika Masuala ya Afrika huko Kongo..

Jamhuri Mwavyombo alipostaafu akaanza ujasiriamali huko Nakuru, badae akahamia Kericho biashara zikawa ngumu saivi sijui aliishia wapi aisee!
Mkuu hawa watangazaji wakongwe sana wako wapi siku hizi🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom