Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

Mbwa wageuzwa kitoweo Kibosho, hii ndio habari hizo zingine porojo tu,

Hawezi kulivunja Baraza la Mawaziri kamwe hio Power hana, akivunja Baraza zima la Mawaziri na kuwaweka Mawaziri wengine wapya wapya wapya sio wale wale wakina Ridhuwani na January Makamba mniite Mbwa nimekaa pale
 
Ila wale jamaa wa Ngome na nyota zao wanatuanguasha sana.
Wana wajibu wa kulinda katiba ila naona Kama huo wajibu umewashinda.
 
Nadhani kuna kitu kinakuja maana hata tabia za speaker wa bunge kwa mara ya kwanza namuona kama anatupia lawama kwa mawaziri maswali mengi kuwabana na issue kama muwe mnamsikiliza Rais kuna viashiria vingi kuna watu wako targeted sio wote ila kuna watu wanatafutwa ni kama wameingia kwenye 18 hivi
 
Kuvunja hapo pagumu,sanasana hapo atatolewa Diblo Dibala maana kuna kipindi alisema Lukuvi amsaidie kusimamia Mawaziri.
 
Baraza la mawaziri sio rahisi kulivunja hadi ridhaa toka kwa mzee wa mso** na kwa 'rosti tamu'
 
Rais kajiingiza kwenye mtego, ameitisha mkutano wa dharura halafu lisitokee jipya ndio utakuwa mwisho wake, maana angeweza kufanya kimya kimya na watu wasingejali. Lakini kuvuta attention ya watu na usifanye la maana ndipo mwisho wake ulipo.
 
Tulishauri mapema Sana,mwanzo anaingia alitakiwa hata kuvunja hata bunge nakuitisha uchaguzi upya hata migogoro ya akina Mdee yasingekuepo,

Wapo wabunge wa ccm ambao walipendwa kwenye majimbo ila walipigwa chini na mwenda zake kwa Sababu anazozijua yeye,

Unaweza kuwa mchezaji mzuri tu ila kama upo na Tim mbovu ni ngum kuonekana kama hu mchezaji mzuri
Bunge aliache ila Baraza asafishe kwa kuanza na boss wao mkuu atupishe kwanza.
 
Bunge aliache ila Baraza asafishe kwa kuanza na boss wao mkuu atupishe kwanza.
Umeelewa nini niliandika, nimesema kipindi anaingia , kwa sasa hatawezaje vunja Bunge,

Lakini pia akivunja baraza Mawaziri bora anawatoa wapi CHINI ya bunge hili
 
Back
Top Bottom