Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

Hana uwezo wa kuvunja Baraza la Mawaziri kwasababu Mawaziri wengi ni Team Msoga.

Team Msoga ndio ilimsaidia sana kufika alipofika.

Hana mizizi iliyochimbia huku Tanganyika

Mwisho ni Mama,sifa kubwa za WaMama ni huruma,kulea,kubembeleza na kudekeza.
Uwezekano wa kuvunjwa baraza ni mkubwa sana.. Lengo ni kumuondoa yule sijui ni Mmakua, sijui Mmwera.. Hata sijui.. Ila hawawezi kumtoa mpaka wavunje baraza..
 
Watu wa magufuli wepi? Si aliwatoa wote kina lukuvi kabudi kalemani polepole bashiru ndugai etc akaweka wakwake kina mikamba, michemba, bashi, nepi na yule mtoto wa bulicheka wa msoga? Sasa nini tena?? Hahahah
Laaah 😀
 
Rais kajiingiza kwenye mtego, ameitisha mkutano wa dharura halafu lisitokee jipya ndio utakuwa mwisho wake, maana angeweza kufanya kimya kimya na watu wasingejali. Lakini kuvuta attention ya watu na usifanye la maana ndipo mwisho wake ulipo.
Mimi naamini kuna kitu kitafanyika. Kwani sababu iliyopelekea wakutane, ilitajwa kuwa ni nini? Kumbuka kuwa hata NEC nao pia walikutana J2 jioni, nadhani hata wao pia ilikuwa ni dharura
 
Back
Top Bottom