St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Uwezekano wa kuvunjwa baraza ni mkubwa sana.. Lengo ni kumuondoa yule sijui ni Mmakua, sijui Mmwera.. Hata sijui.. Ila hawawezi kumtoa mpaka wavunje baraza..Hana uwezo wa kuvunja Baraza la Mawaziri kwasababu Mawaziri wengi ni Team Msoga.
Team Msoga ndio ilimsaidia sana kufika alipofika.
Hana mizizi iliyochimbia huku Tanganyika
Mwisho ni Mama,sifa kubwa za WaMama ni huruma,kulea,kubembeleza na kudekeza.
Inno Bash for primiership [emoji3577]Historia huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990.
Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.View attachment 2416036
Laaah 😀Watu wa magufuli wepi? Si aliwatoa wote kina lukuvi kabudi kalemani polepole bashiru ndugai etc akaweka wakwake kina mikamba, michemba, bashi, nepi na yule mtoto wa bulicheka wa msoga? Sasa nini tena?? Hahahah
Mimi naamini kuna kitu kitafanyika. Kwani sababu iliyopelekea wakutane, ilitajwa kuwa ni nini? Kumbuka kuwa hata NEC nao pia walikutana J2 jioni, nadhani hata wao pia ilikuwa ni dharuraRais kajiingiza kwenye mtego, ameitisha mkutano wa dharura halafu lisitokee jipya ndio utakuwa mwisho wake, maana angeweza kufanya kimya kimya na watu wasingejali. Lakini kuvuta attention ya watu na usifanye la maana ndipo mwisho wake ulipo.
kuvusha watanzania kazi ya Ustadhi Profesa Abubakari aikaeL mbowe kuingilia ruti madhara hua makubwaKaka mwigulu tuvushe
Hivyo ni kwamba namba 1 ndio ya kuifuata na kuitekelezaHahaaa!! Two rules involves
Rule 1: Dont outshine the master!
RULE 2: Make sure you dont forget rule no 1
Wala Hakuna kitu Kama hicho unless agundue serious issues za wanaomhujumu..Historia huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990.
Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.View attachment 2416036