Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Ongezea na vicheko hivi kwake na cabinet yake...
...tozo za KIZALENDO kwenye line za simu..
...Tozo zinazoenda sambamba na LUKU za majengo...
....Kupenda kwa bei za Fuel kiholela na kukimbilia 2,500/=..
...Kicheko kwake mama samia kwa kuishi maisha ya kifalme na cabinet yake...
 
Nimependa post hii namna ilivyosheheni stats. I go wherever the facts take me. Shukrani kijana wangu
 

Unaishi dunia gani, mkurugenzi? On average, makusanyo ya TRA kwa mwezi yakoje? Dunia hii ni nani anayegawa hela bure? Ukipenda kupokea na kula pesa za watu wengine, jiandae kuliwa (hata tigo)!
 
Unasemaje juu ya ongezeko la bei ya mbolea? Kuna kicheko kwa wakulima?


Serikali haiuzi mbolea, Ni soko ndio linapeleka hiyo bei huko,

Ila tukuhakikishie tayari tumepata mwekezaji wa kiwanda kikubwa kabisa cha Mbolea kutoka Misri,

Naamini bei ya mbolea itashuka sana patakapokuwa na competition,

Competitive economy,
 
Ni kweli tuombe uzima,na pia tujitahidi kufanya kazi ili tusaidie kujenga nchi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mbolea 1 bag ya urea ni 80000 mpunga gunia moja ni 36000 mpka 50000 je hiko kicheko anacho yye
Asante sana kwa kuongezea.

Huyu mleta mada atakuwa siyo Mtanzania na kama ni Mtanzania basi ni wale wale wanaojipendekeza ili wapate "uteuzi".
 
Ana kiroho pappo
 
Shida yetu Watz ni nakisi ya uadilifu kwa wale wasimamizi wa fedha hizo.Ndipo tatizo kubwa lilipo na ndipo panapotuchelewesha.
 
Baadhi ya watumishi hatumdai tunashukuru japo kwa kidogo.
 
Unaishi dunia gani, mkurugenzi? On average, makusanyo ya TRA kwa mwezi yakoje? Dunia hii ni nani anayegawa hela bure? Ukipenda kupokea na kula pesa za watu wengine, jiandae kuliwa (hata tigo)!





Hivi kweli nyie mkipewa serikali,Mnaweza kuiongoza hata mwezi mmoja?
 
Napenda sana akili za kiwango hicki, Napenda sana mtu anayeleta hoja zake kwa namba, Namba haijawi kusema uongo kamwe, Samia anavunja rekodi shida kubwa Team mwendazake inamvuta sana shati,

Kunywa soda mwandishi utalipa mwenyewe.
Atawafunika wengi Sana licha ya watu kulia Lia na tozo nk ila kwa kuwa zitaenda kuwa materialized kwenye tangible things ita make sense
 
Watanzania na nani? labda wewe na mkeo ndo mnalia!
 
Kwa hiyo yanafanyika overnight au? Ndio kwaanza wamependeekeza barabarani husika na taratibu za manunuzi zinaendelea.
 
Kwa lipi wakati mitaani huku watu hawana pesa hata ya kununulia mahitaji yao, we huoni doro ya maduka?

wamejaza bidhaa wanunuzi hakuna
Hujawahi sikia usemi kwamba kubomoa ni rahisi kuliko kujenga? Ulitegemea uchumi ulioharibiwa kwa miaka 5 utengamae ndani ya miezi 4? Hali ya pesa kuenea zaidi itaanza baada ya mwaka hivi japo baadhi ya sekta kama kilimo cha mbaazi,ufuta nk wamepata bei nzuri Sana mwaka huu
 
Mkuu kojoa ulale
Kesho ukiamka kanunue luku ukatwe buku ya kodi ya jengo japo unaishi chumba kimoja cha kupanga.
Asie nacho hata kile kidogo alichonacho ataporwa,hapa ndipo mlegeza macho alipotufikisha
Kwani anapeleka kwenye familia yake?
 
Shida ni kwamba amepoteza direction, Hana Legacy kama Rais. Hajulikani ni Maushungi au Meko anayejitahd kujinasibu nae-Angefanikiwa sana kama angetengeneza legacy yake alone.
Akitaka kutengeneza legacy yake kama Mwendazake zake alipoua bandari ya Bagamoyo, ina maana miradi yote aliyoanzisha JPM itakufa kibudu. Reli itaishia Dodoma na nyie wasukuma itakula kwenu,haitofika Mwanza.

Legacy sio majengo na zege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…