Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Kwa kujikomba huku
Hatuna waziri wa ulinzi mpaka Sasa, haya komaa bwashee

Kwa kujikomba huku lazima utaolewa tu.
 
..miradi haijakamilika hivyo sio sahihi kusema Raisi ameweza kujenga sgr, au sg.

Miradi inaendelea yote mipya na ya mtangulizi wake but Vicheko pia vinaendelea tofauti na watangulizi wake ndio maana nasema AMEWEZAJE HAYA?
 
Leo ndio unaiamini ile kauli ya Hayati Magufuli kuwa nchi hii tajiri na tutembee kifua mbele!
 
Huyu Mama Uchaguzi wa 2025 ameshamaliza,

Kwa mambo aliyotufanyia mwendazake,

Huyu mama ukishindwa kupata pesa wewe ni fala,

Kila kitu kiko wazi kwa mama,

Wanaolialia kwa kukatwa vi elfu 10 vya miamala ni mazezeta,

Mbona Magufuli alikuwa anachukua pesa zao kwa nguvu na hawajawahi kuleta maneno,
 
Wazalendo wakweli tayari tumeshamwelewa mama, Hana maneno mengi anachapa kazi tu,
 
Akitaka kutengeneza legacy yake kama Mwendazake zake alipoua bandari ya Bagamoyo, ina maana miradi yote aliyoanzisha JPM itakufa kibudu. Reli itaishia Dodoma na nyie wasukuma itakula kwenu,haitofika Mwanza.

Legacy sio majengo na zege.

Legacy, L
 
Kila mtu yupo hoi now
 
Mbona awamuu hii hamuweki namba za simu, mtapataje uteuzi?
 
Mbona awamuu hii hamuweki namba za simu, mtapataje uteuzi?

Sikweli kwamba Ukisema ukweli wa yanayofanyika Unataka Uteuzi,

Tujifunzeni kulipenda Taifa letu na kulitakia mema,

Mama Samia kazi anayoifanya kila mwenye niathabiti tayari atakuwa ameshaona mwelekeo Chanya Uliopo,
 
Kwa hiyo kipindi cha mwendazake hamkuwa mnalitakia taifa mema na hamkuwa mnataka uteuzi ndio maana mlikuwa mnaweka namba za simu?
 
250k ndo umefurahia hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama ameshindwa kabla hajaanza.

Of course watu wa pwani hawajawahi kua viongozi wa maana.

Ni watu legelege, wamezoea maisha ya kitumwa, waarabu wamewatumikisha miaka na miaka.

Hii nchi kuendelea bado ina safari ndefu sana.
Unapakatwa nini?
 
Mkuu na huku Mangaka tunauza mbaazi zetu kwa tsh 1400 kwa kilo moja, wakati kipindi cha mwendazake tulikuwa tunazimwaga barabarani kwenye sehemu korofi ili barabara ipitike
 
Kwa hiyo kipindi cha mwendazake hamkuwa mnalitakia taifa mema na hamkuwa mnataka uteuzi ndio maana mlikuwa mnaweka namba za simu?

Kama kusema ukweli ni kutafuta Uteuzi,

Je? Kutosema Ukweli ni kutafuta nini?

Je? Kupotosha Ukweli ni kutafuta nini?

Tangu tupate Uhuru ni Samia tu nani Samia rais Mwanamke tumepewa na Mungu,

Nakwahakika ya Mungu, kwamwendo huu atawafunika wote Waliomtangulia,

Tuupeni muda muda huku tukichapa kazi kwa bidii yote na kwakumtanguliza Mungu mbele,
 
Mkuu na huku Mangaka tunauza mbaazi zetu kwa tsh 1400 kwa kilo moja, wakati kipindi cha mwendazake tulikuwa tunazimwaga barabarani kwenye sehemu korofi ili barabara ipitike

KUHUSU MBAAZI LINDI & MTWARA,
_________________________________

Mbaazi iliuzwa mpaka Tshs 150/=kwa kilo toka 2,200 mwaka 2014/15,

Ila watu wanajifanya hawaoni hiyo bei ya Tshs1,400/= hii sawa karibu ya ongezeko la 1,000,%

Nahii ni ndani ya vimiezi vichache vya Mama Samia,

Better are yet to come tuendelee kumwombea,

_______
 
Samia miaka Mia

Huyu mama ni kitu kingine kabisa,

Anaupiga mwingi kuliko mwingine yeyote,
 
Halafu Hana kelele, yeye ni kazkazi. Watu wengi sana walidhulumiwa haki zao kibabe hapo nyuma, lkn serkali ya mama Samia inawasaidia, haitaki dhulma, Kuna AMBAO wameanza kusaidiwa kupata haki zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…