Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Halafu Hana kelele, yeye ni kazkazi. Watu wengi sana walidhulumiwa haki zao kibabe hapo nyuma, lkn serkali ya mama Samia inawasaidia, haitaki dhulma, Kuna AMBAO wameanza kusaidiwa kupata haki zao



Mama Kama Mama ni habari nyingine,

Nimeamini Haki huinua Taifa,
 
Mleta mada nadhani uko kwenye maluweluwe!!!

Raisi Samia kajenga SGR lini?
 
Mleta mada nadhani uko kwenye maluweluwe!!!

Raisi Samia kajenga SGR lini?


Hivi ndivyo alivyoikuta reli,

Dar-Moro kM 300 50% tayari kafikia 78% na treni tayari kaagiza,

Moro-Makutupora Km 422 aliikuta 30%

Isaka -Mwanza Km 341 zilikuwa 0%

Bado Isaka -Rusumo Km 371 iko 0%

Leo hii kalipa wakandarasi wote madeni na kazi inaendelea,

Kwani Wewe unasemaje?
 






" Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni mama deserves better Wazalendo wote tumtie moyo, mpaka mwaka 2030 tutashuhudia maajabu, Tuombe uzima Tu"
 
Wapinzani kicheko kama nilivyomuona mbowe akicheka,gesi bei juu misitu iendelee kutoweka,petroli bei juu garama za maisha zinapaa endeleeni kusifu,lkn naona giza waziri wa fedha ni mchumi nambali wani hatupaswi kumtilia shaka,matendo yanaonyesha shaka ni lzm.
 
Rais Samia ni mpango halisi wa Mungu,Mungu wetu hakawii wala hawai ni huyuhuyu tumepewa tumlinde,
 
Mama anatoa Tsh 23.8BL kwaajili ya elimu bure | Mimi Mama Samia hata akiongoza hadi 2035 ni poa tu,
 
Ndani ya Uongozi wa Rais Samia,
Mahakama huru,
Bunge huru,
NGOs huru
Media huru

TanzaniakwaniSisi tunatakaje?
 
Mwanamke wa kwanza kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa la 76 tangu tupate uhuru ni Mama Samia Suluhu Hassan,

We Proud on you Mama
_________________________

 
Kuhusu HESLB waulize wanachuo UDOM yaliyowakuta kipindi hiki.
 
Hapa Mama kwakweli amefanya la maana sana,

#Mama 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…