Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Rais wangu Samia Suluhu Hassan amewezaje kujenga SGR 1,063Km kwa Tshs 10.1T | SG kwa Tshs 6.5T na miradi mingine huku akiachilia vicheko kwa makundi mbalimbali ya watanzania,​

"Hakika hakuna kama Rais Samia"​

Ukichukua gharama za miradi miwili tu mikubwa ya SGR na SG inayoendelea kwa sasa yaani Isaka -Mwanza 341km Tshs 3.02trl, Makutupora-Morogoro 422Km Tshs 4.4trl ,Morogoro -DSM 300Km Tshs 2.7trl na SG US$ 2.9BL Tshs 6.5trl Jumla yake ni Tshs 16.6trl achilia mbali miradi mingine yote ikiwemo mipya na ile iliyoachwa na Hayati Rais Magufuli yote mama yetu Samia Suluhu Hassan anaziendeleza tena kwa BOQ zilezile,Hii ni ajabu iliyoje!!

Kinachonivutia zaidi ni hivi vicheko kwa haya makundi mbalimbali najiuliza Rais Samia amewezaje yote haya yaliyowashinda watangulizi wake wote tena wanaume wa shoka?!

1. Kicheko cha Rais Samia na wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 11 hawakupewa mikopo,Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020|21 hadi 570BL FY2021|22 na kufanya kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupatiwa mkopo bila kujali historia ya alikosomea huku akifuta kabisa ile 6% ya ada ya thamani ya mkopo ( Value Retention Fee-VRF ) kwenye mikopo hiyo na Sasa wanufaika hao watakatwa 9% tu ( single digits) FY2021|22 kutoka 15% ya FY2020|21,Kwa lugha rahisi take home za watu hawa zimepaa kwa 6% nivicheko kila kona ya nchi na Rais Samia Suluhu,
__________________________________

2. Kicheko cha Rais Samia na Wafanyakazi,Sote tunafahamu,kwa miaka mitano ( 5 ) mfululizo tumeshuhudia wafanyakazi wa Umma hawakupandishwa vyeo|madaraja,lakini ndani ya miezi hii michache mama ameshatoa Tshs 509BL, kwenye bajeti ya FY2021|22 Yaani 449BL za madaraja|vyeo na 60BL za malimbikizo ya mishahara na tayari Pesa hizi zimeleta vicheko kwa wafanyakazi huku akipunguza kodi (PAYE) toka 9% FY2020|21 mpaka 8% hivi sasa hivi Wafanyakazi mnamtaka nani zaidi kama sio Rais Samia? ,kwa lugha rahisi FY2021|22 ameongeza mishahara ya wafanyakazi wote wa Serikali na binafsi kwa 1% kwa kuwarudishia hiyo 1% ya mishahara yao, na kwakufanya hivyo serikali itatumia|itapoteza kiasi cha Tshs 14.1781BL kwenye bajeti ya FY2021|22 fedha ambayo itarudishwa kwa wafanyakazi kama nyongeza ya mishahara yao,
__________________________________

3. Kicheko cha Rais Samia na wasio Ajiriwa,mwisho ilikuwa FY2015|16 wakati wa Mzee JK alipoachilia ajira mpya elfu 52 trh 01|05|2015,Leo miaka mitano baadae na nimiezi michache ya Mama Samia tunashuhudia tena ajira mpya za serikali elfu 40 FY2021|22 kwa gharama ya Tshs 239BL na 120BL kwaajili ya kubadili muundo wa Utumishi,maajabu zaidi ya mama tayari amesajili miradi mikubwa mipya 93 yenye thamani ya US$ 1.6BL karibu Tshs 3.23trl ambayo nayo itaajiri watu 23,600 na kumfanya ndani ya hivi vimiezi vichache kutoa jumla ya nafasi 53,600 za ajira achilia mbali miradi mingine mingi ya sekta binafsi|Umma inayoendelea kutoa ajira lengo likiwa ni ajira 8M ifikapo mwaka 2025.
__________________________________

4. Kicheko cha Rais Samia Majimboni,Bila kujali ukubwa wa jimbo Rais Samia FY2021|22 ameshatoa Tsh 132BL sawa na Tshs 500M katika kila Jimbo kwa majimbo yote 264 kama fedha za maendeleo ya Jimbo mbali na fedha za mfuko wa Jimbo,fedha hizi zimerudisha tabasamu kwa Wabunge hasa wa Majimbo,Mama ametoa tena Tshs 322.158BL kama bajeti ya nyongeza kwaajili ya Ujenzi wa Vyumba 10,000 vya madarasa Zahanati 555,Vituo vya afya 121,hakuishia hapo TARURA nao bajeti yao ameiongeza kwa 254% yaani kutoka 273BL FY 2020|21 hadi 966.43BL FY2021|22 kumaliza kila barabara korofi Vijijini|Mitaani,Nimwendo wa vicheko tu Watanzania tumtake nani kama sio Samia?
__________________________________

5. Kicheko cha Rais Samia na wafanyabiashara|Wawekezaji, Mhe Samia Ndio rais pekee aliyetangaza hadharani hahitaji kodi za Kishetani na akafuta jumla ya kodi|tozo zote kandamizi zipatazo 232 FY2021|22 bila kujali hasara ya Tshs 55.49997BL ambayo Serikali yake itapata kwa kuondoa tozo|kodi hizo nia yake aongeze idadi ya walipa kodi kutoka 2.7M waliopo na matokeo najua wote tumeyaona ,Nchi hii tangu tupate uhuru sijawahi kusikia tozo|kodi zaidi ya 230 zikifutwa kwa kwamkupuo Kama ambazo mama ameachilia kicheko hiki kwani hataki kabisa Tax economy ,pamoja na kukataa kodi za kishetani na kuondoa tozo kandamizi bado Miradi yote ya Watangulizi wake anaiendeleza sawasawa ikiwemo SGR US$ 4.64BL au Tsh 10.2trl,SG US$ 2.9BL au Tshs 6.5trl,ndege Mpya,barabara zote ujenzi unaendelea, madaraja yote,meli zote pamoja na haya yote kufanyika bado Wafanyakazi wetu ni vicheko,Wafanyabiashara|wawekezaji wetu ni vicheko,bodaboda wetu ni vicheko, machinga wetu ni vicheko,wanafunzi wetu hasa wa elimu ya juu ni vicheko, wafugaji wetu ni vicheko,wakulima wetu ni vicheko, Wapinzani nao ni vicheko hata wewe unayesoma naamini, Tayari nawewe unakicheko chako umecheka na Mama Samia ,

" Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni mama deserves better Wazalendo wote tumtie moyo, mpaka mwaka 2030 tutashuhudia maajabu, Tuombe uzima Tu"

.........KAZI IENDELEE ...........

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1936849
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Amejenga hewani yasionekane kwenye macho ya kibinadamu kuona na kukiri kuwepo kwake kwa bayana?

Taarifa anazopelekewa mkuu wa nchi na ukizingatia unyeti wake zinatakiwa zizingatie ukusanyaji wake ujielekeze kwa undani maeneo haya yafuatayo yaendane kwa kulingana na athari na faida kwa nchi
1. Human Intelligence information collection and data source analysis (HUMINT)-military attache, diplomat reporting, NGOs, Refugee, etc
2. Financial Intelligence information collection and data sources analysis (FININT)-state monetary transactions
3. Open Source Intelligence information collection and data sources analysis OSINT)-internet, trade shows, interviews, international meetings, etc
4. Operating Security Intelligence information collection and data sources analysis (OPSEC)-obtaining valuable information data from adversaries and utilize to outsmart the rival
5. Medical Intelligence information collection and data sources analysis (MEDINT)-medical reports and citizens health status (medical records and/or actual physiological examinations to determine health and/or particular ailments and allergic conditions for consideration)
6. Cyber Intelligence information collection and data sources analysis (CYBINT)-obtaining information through interconnected digital technology to be able to reveal what is planned to come into effect when, where, why, and how
7. Meteorological Intelligence information collection and data sources analysis (METINT)-Undercover technical knowledge to learn about the competitor's environmental conditions within the specified territory
8. Traffic Intelligence information collection and data sources analysis (TRINT)-interception of information through electronic data transfer by computer or other devices, helping to protect and safeguard the nation's interests.

* Kwa kuzingatia tangazo hilo taarifa zenye kuonesha uhalisia zimetokana na njia gani kati ya hizo hapo juu kwa uthibitisho usiochagizwa na mihemko?
 
Namba 2 mtaalamu,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI

Wapinzani kicheko kama nilivyomuona mbowe akicheka,gesi bei juu misitu iendelee kutoweka,petroli bei juu garama za maisha zinapaa endeleeni kusifu,lkn naona giza waziri wa fedha ni mchumi nambali wani hatupaswi kumtilia shaka,matendo yanaonyesha shaka ni lzm.
Nyie ni bipod tokea zamani, macho yenu hayaoni, sio ajabu musipoona maendeleo, kipofu halaumiwi kwa kutokuona.
 
Rais wangu Samia Suluhu Hassan amewezaje kujenga SGR 1,063Km kwa Tshs 10.1T | SG kwa Tshs 6.5T na miradi mingine huku akiachilia vicheko kwa makundi mbalimbali ya watanzania,​

"Hakika hakuna kama Rais Samia"​

Ukichukua gharama za miradi miwili tu mikubwa ya SGR na SG inayoendelea kwa sasa yaani Isaka -Mwanza 341km Tshs 3.02trl, Makutupora-Morogoro 422Km Tshs 4.4trl ,Morogoro -DSM 300Km Tshs 2.7trl na SG US$ 2.9BL Tshs 6.5trl Jumla yake ni Tshs 16.6trl achilia mbali miradi mingine yote ikiwemo mipya na ile iliyoachwa na Hayati Rais Magufuli yote mama yetu Samia Suluhu Hassan anaziendeleza tena kwa BOQ zilezile,Hii ni ajabu iliyoje!!

Kinachonivutia zaidi ni hivi vicheko kwa haya makundi mbalimbali najiuliza Rais Samia amewezaje yote haya yaliyowashinda watangulizi wake wote tena wanaume wa shoka?!

1. Kicheko cha Rais Samia na wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 11 hawakupewa mikopo,Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020|21 hadi 570BL FY2021|22 na kufanya kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupatiwa mkopo bila kujali historia ya alikosomea huku akifuta kabisa ile 6% ya ada ya thamani ya mkopo ( Value Retention Fee-VRF ) kwenye mikopo hiyo na Sasa wanufaika hao watakatwa 9% tu ( single digits) FY2021|22 kutoka 15% ya FY2020|21,Kwa lugha rahisi take home za watu hawa zimepaa kwa 6% nivicheko kila kona ya nchi na Rais Samia Suluhu,
__________________________________

2. Kicheko cha Rais Samia na Wafanyakazi,Sote tunafahamu,kwa miaka mitano ( 5 ) mfululizo tumeshuhudia wafanyakazi wa Umma hawakupandishwa vyeo|madaraja,lakini ndani ya miezi hii michache mama ameshatoa Tshs 509BL, kwenye bajeti ya FY2021|22 Yaani 449BL za madaraja|vyeo na 60BL za malimbikizo ya mishahara na tayari Pesa hizi zimeleta vicheko kwa wafanyakazi huku akipunguza kodi (PAYE) toka 9% FY2020|21 mpaka 8% hivi sasa hivi Wafanyakazi mnamtaka nani zaidi kama sio Rais Samia? ,kwa lugha rahisi FY2021|22 ameongeza mishahara ya wafanyakazi wote wa Serikali na binafsi kwa 1% kwa kuwarudishia hiyo 1% ya mishahara yao, na kwakufanya hivyo serikali itatumia|itapoteza kiasi cha Tshs 14.1781BL kwenye bajeti ya FY2021|22 fedha ambayo itarudishwa kwa wafanyakazi kama nyongeza ya mishahara yao,
__________________________________

3. Kicheko cha Rais Samia na wasio Ajiriwa,mwisho ilikuwa FY2015|16 wakati wa Mzee JK alipoachilia ajira mpya elfu 52 trh 01|05|2015,Leo miaka mitano baadae na nimiezi michache ya Mama Samia tunashuhudia tena ajira mpya za serikali elfu 40 FY2021|22 kwa gharama ya Tshs 239BL na 120BL kwaajili ya kubadili muundo wa Utumishi,maajabu zaidi ya mama tayari amesajili miradi mikubwa mipya 93 yenye thamani ya US$ 1.6BL karibu Tshs 3.23trl ambayo nayo itaajiri watu 23,600 na kumfanya ndani ya hivi vimiezi vichache kutoa jumla ya nafasi 53,600 za ajira achilia mbali miradi mingine mingi ya sekta binafsi|Umma inayoendelea kutoa ajira lengo likiwa ni ajira 8M ifikapo mwaka 2025.
__________________________________

4. Kicheko cha Rais Samia Majimboni,Bila kujali ukubwa wa jimbo Rais Samia FY2021|22 ameshatoa Tsh 132BL sawa na Tshs 500M katika kila Jimbo kwa majimbo yote 264 kama fedha za maendeleo ya Jimbo mbali na fedha za mfuko wa Jimbo,fedha hizi zimerudisha tabasamu kwa Wabunge hasa wa Majimbo,Mama ametoa tena Tshs 322.158BL kama bajeti ya nyongeza kwaajili ya Ujenzi wa Vyumba 10,000 vya madarasa Zahanati 555,Vituo vya afya 121,hakuishia hapo TARURA nao bajeti yao ameiongeza kwa 254% yaani kutoka 273BL FY 2020|21 hadi 966.43BL FY2021|22 kumaliza kila barabara korofi Vijijini|Mitaani,Nimwendo wa vicheko tu Watanzania tumtake nani kama sio Samia?
__________________________________

5. Kicheko cha Rais Samia na wafanyabiashara|Wawekezaji, Mhe Samia Ndio rais pekee aliyetangaza hadharani hahitaji kodi za Kishetani na akafuta jumla ya kodi|tozo zote kandamizi zipatazo 232 FY2021|22 bila kujali hasara ya Tshs 55.49997BL ambayo Serikali yake itapata kwa kuondoa tozo|kodi hizo nia yake aongeze idadi ya walipa kodi kutoka 2.7M waliopo na matokeo najua wote tumeyaona ,Nchi hii tangu tupate uhuru sijawahi kusikia tozo|kodi zaidi ya 230 zikifutwa kwa kwamkupuo Kama ambazo mama ameachilia kicheko hiki kwani hataki kabisa Tax economy ,pamoja na kukataa kodi za kishetani na kuondoa tozo kandamizi bado Miradi yote ya Watangulizi wake anaiendeleza sawasawa ikiwemo SGR US$ 4.64BL au Tsh 10.2trl,SG US$ 2.9BL au Tshs 6.5trl,ndege Mpya,barabara zote ujenzi unaendelea, madaraja yote,meli zote pamoja na haya yote kufanyika bado Wafanyakazi wetu ni vicheko,Wafanyabiashara|wawekezaji wetu ni vicheko,bodaboda wetu ni vicheko, machinga wetu ni vicheko,wanafunzi wetu hasa wa elimu ya juu ni vicheko, wafugaji wetu ni vicheko,wakulima wetu ni vicheko, Wapinzani nao ni vicheko hata wewe unayesoma naamini, Tayari nawewe unakicheko chako umecheka na Mama Samia ,

" Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni mama deserves better Wazalendo wote tumtie moyo, mpaka mwaka 2030 tutashuhudia maajabu, Tuombe uzima Tu"

.........KAZI IENDELEE ...........

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1936849

Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.​

" Hakuna kama Samaia "​

Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,

IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.

Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1971181

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
Hana uwezo huo ila ni wa wananchi wenyewe labda kwa kuongezea mikopo na misaada.

Hiyo ni bajeti ambayo tayari iliandaliwa kabla ya yeye kuamkia kwenye hicho cheo kinacholeta mang'amung'amu
 
Rais wangu Samia Suluhu Hassan amewezaje kujenga SGR 1,063Km kwa Tshs 10.1T | SG kwa Tshs 6.5T na miradi mingine huku akiachilia vicheko kwa makundi mbalimbali ya watanzania,​

"Hakika hakuna kama Rais Samia"​

Ukichukua gharama za miradi miwili tu mikubwa ya SGR na SG inayoendelea kwa sasa yaani Isaka -Mwanza 341km Tshs 3.02trl, Makutupora-Morogoro 422Km Tshs 4.4trl ,Morogoro -DSM 300Km Tshs 2.7trl na SG US$ 2.9BL Tshs 6.5trl Jumla yake ni Tshs 16.6trl achilia mbali miradi mingine yote ikiwemo mipya na ile iliyoachwa na Hayati Rais Magufuli yote mama yetu Samia Suluhu Hassan anaziendeleza tena kwa BOQ zilezile,Hii ni ajabu iliyoje!!

Kinachonivutia zaidi ni hivi vicheko kwa haya makundi mbalimbali najiuliza Rais Samia amewezaje yote haya yaliyowashinda watangulizi wake wote tena wanaume wa shoka?!

1. Kicheko cha Rais Samia na wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 11 hawakupewa mikopo,Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020|21 hadi 570BL FY2021|22 na kufanya kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupatiwa mkopo bila kujali historia ya alikosomea huku akifuta kabisa ile 6% ya ada ya thamani ya mkopo ( Value Retention Fee-VRF ) kwenye mikopo hiyo na Sasa wanufaika hao watakatwa 9% tu ( single digits) FY2021|22 kutoka 15% ya FY2020|21,Kwa lugha rahisi take home za watu hawa zimepaa kwa 6% nivicheko kila kona ya nchi na Rais Samia Suluhu,
__________________________________

2. Kicheko cha Rais Samia na Wafanyakazi,Sote tunafahamu,kwa miaka mitano ( 5 ) mfululizo tumeshuhudia wafanyakazi wa Umma hawakupandishwa vyeo|madaraja,lakini ndani ya miezi hii michache mama ameshatoa Tshs 509BL, kwenye bajeti ya FY2021|22 Yaani 449BL za madaraja|vyeo na 60BL za malimbikizo ya mishahara na tayari Pesa hizi zimeleta vicheko kwa wafanyakazi huku akipunguza kodi (PAYE) toka 9% FY2020|21 mpaka 8% hivi sasa hivi Wafanyakazi mnamtaka nani zaidi kama sio Rais Samia? ,kwa lugha rahisi FY2021|22 ameongeza mishahara ya wafanyakazi wote wa Serikali na binafsi kwa 1% kwa kuwarudishia hiyo 1% ya mishahara yao, na kwakufanya hivyo serikali itatumia|itapoteza kiasi cha Tshs 14.1781BL kwenye bajeti ya FY2021|22 fedha ambayo itarudishwa kwa wafanyakazi kama nyongeza ya mishahara yao,
__________________________________

3. Kicheko cha Rais Samia na wasio Ajiriwa,mwisho ilikuwa FY2015|16 wakati wa Mzee JK alipoachilia ajira mpya elfu 52 trh 01|05|2015,Leo miaka mitano baadae na nimiezi michache ya Mama Samia tunashuhudia tena ajira mpya za serikali elfu 40 FY2021|22 kwa gharama ya Tshs 239BL na 120BL kwaajili ya kubadili muundo wa Utumishi,maajabu zaidi ya mama tayari amesajili miradi mikubwa mipya 93 yenye thamani ya US$ 1.6BL karibu Tshs 3.23trl ambayo nayo itaajiri watu 23,600 na kumfanya ndani ya hivi vimiezi vichache kutoa jumla ya nafasi 53,600 za ajira achilia mbali miradi mingine mingi ya sekta binafsi|Umma inayoendelea kutoa ajira lengo likiwa ni ajira 8M ifikapo mwaka 2025.
__________________________________

4. Kicheko cha Rais Samia Majimboni,Bila kujali ukubwa wa jimbo Rais Samia FY2021|22 ameshatoa Tsh 132BL sawa na Tshs 500M katika kila Jimbo kwa majimbo yote 264 kama fedha za maendeleo ya Jimbo mbali na fedha za mfuko wa Jimbo,fedha hizi zimerudisha tabasamu kwa Wabunge hasa wa Majimbo,Mama ametoa tena Tshs 322.158BL kama bajeti ya nyongeza kwaajili ya Ujenzi wa Vyumba 10,000 vya madarasa Zahanati 555,Vituo vya afya 121,hakuishia hapo TARURA nao bajeti yao ameiongeza kwa 254% yaani kutoka 273BL FY 2020|21 hadi 966.43BL FY2021|22 kumaliza kila barabara korofi Vijijini|Mitaani,Nimwendo wa vicheko tu Watanzania tumtake nani kama sio Samia?
__________________________________

5. Kicheko cha Rais Samia na wafanyabiashara|Wawekezaji, Mhe Samia Ndio rais pekee aliyetangaza hadharani hahitaji kodi za Kishetani na akafuta jumla ya kodi|tozo zote kandamizi zipatazo 232 FY2021|22 bila kujali hasara ya Tshs 55.49997BL ambayo Serikali yake itapata kwa kuondoa tozo|kodi hizo nia yake aongeze idadi ya walipa kodi kutoka 2.7M waliopo na matokeo najua wote tumeyaona ,Nchi hii tangu tupate uhuru sijawahi kusikia tozo|kodi zaidi ya 230 zikifutwa kwa kwamkupuo Kama ambazo mama ameachilia kicheko hiki kwani hataki kabisa Tax economy ,pamoja na kukataa kodi za kishetani na kuondoa tozo kandamizi bado Miradi yote ya Watangulizi wake anaiendeleza sawasawa ikiwemo SGR US$ 4.64BL au Tsh 10.2trl,SG US$ 2.9BL au Tshs 6.5trl,ndege Mpya,barabara zote ujenzi unaendelea, madaraja yote,meli zote pamoja na haya yote kufanyika bado Wafanyakazi wetu ni vicheko,Wafanyabiashara|wawekezaji wetu ni vicheko,bodaboda wetu ni vicheko, machinga wetu ni vicheko,wanafunzi wetu hasa wa elimu ya juu ni vicheko, wafugaji wetu ni vicheko,wakulima wetu ni vicheko, Wapinzani nao ni vicheko hata wewe unayesoma naamini, Tayari nawewe unakicheko chako umecheka na Mama Samia ,

" Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni mama deserves better Wazalendo wote tumtie moyo, mpaka mwaka 2030 tutashuhudia maajabu, Tuombe uzima Tu"

.........KAZI IENDELEE ...........

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1936849
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Huyu mama aishi milele,

Mke wangu kalamba 250,000 daraja jipya,

Ndio kwa mara ya kwanza Sal Slip imebadilika tangu 2015.

Mimi na familia yangu tunamtaka huyuhuyu 2025,

Mbona anafanya yote yaliyofanywa na Magufuli na bado anaachia pesa, hayati alikwama wapi?
😍😍😍
 
Hatuna waziri wa ulinzi mpaka Sasa, haya komaa bwashee
👇🏿👇🏿👇🏿

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Rais wangu Samia Suluhu Hassan amewezaje kujenga SGR 1,063Km kwa Tshs 10.1T | SG kwa Tshs 6.5T na miradi mingine huku akiachilia vicheko kwa makundi mbalimbali ya watanzania,​

"Hakika hakuna kama Rais Samia"​

Ukichukua gharama za miradi miwili tu mikubwa ya SGR na SG inayoendelea kwa sasa yaani Isaka -Mwanza 341km Tshs 3.02trl, Makutupora-Morogoro 422Km Tshs 4.4trl ,Morogoro -DSM 300Km Tshs 2.7trl na SG US$ 2.9BL Tshs 6.5trl Jumla yake ni Tshs 16.6trl achilia mbali miradi mingine yote ikiwemo mipya na ile iliyoachwa na Hayati Rais Magufuli yote mama yetu Samia Suluhu Hassan anaziendeleza tena kwa BOQ zilezile,Hii ni ajabu iliyoje!!

Kinachonivutia zaidi ni hivi vicheko kwa haya makundi mbalimbali najiuliza Rais Samia amewezaje yote haya yaliyowashinda watangulizi wake wote tena wanaume wa shoka?!

1. Kicheko cha Rais Samia na wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 11 hawakupewa mikopo,Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020|21 hadi 570BL FY2021|22 na kufanya kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupatiwa mkopo bila kujali historia ya alikosomea huku akifuta kabisa ile 6% ya ada ya thamani ya mkopo ( Value Retention Fee-VRF ) kwenye mikopo hiyo na Sasa wanufaika hao watakatwa 9% tu ( single digits) FY2021|22 kutoka 15% ya FY2020|21,Kwa lugha rahisi take home za watu hawa zimepaa kwa 6% nivicheko kila kona ya nchi na Rais Samia Suluhu,
__________________________________

2. Kicheko cha Rais Samia na Wafanyakazi,Sote tunafahamu,kwa miaka mitano ( 5 ) mfululizo tumeshuhudia wafanyakazi wa Umma hawakupandishwa vyeo|madaraja,lakini ndani ya miezi hii michache mama ameshatoa Tshs 509BL, kwenye bajeti ya FY2021|22 Yaani 449BL za madaraja|vyeo na 60BL za malimbikizo ya mishahara na tayari Pesa hizi zimeleta vicheko kwa wafanyakazi huku akipunguza kodi (PAYE) toka 9% FY2020|21 mpaka 8% hivi sasa hivi Wafanyakazi mnamtaka nani zaidi kama sio Rais Samia? ,kwa lugha rahisi FY2021|22 ameongeza mishahara ya wafanyakazi wote wa Serikali na binafsi kwa 1% kwa kuwarudishia hiyo 1% ya mishahara yao, na kwakufanya hivyo serikali itatumia|itapoteza kiasi cha Tshs 14.1781BL kwenye bajeti ya FY2021|22 fedha ambayo itarudishwa kwa wafanyakazi kama nyongeza ya mishahara yao,
__________________________________

3. Kicheko cha Rais Samia na wasio Ajiriwa,mwisho ilikuwa FY2015|16 wakati wa Mzee JK alipoachilia ajira mpya elfu 52 trh 01|05|2015,Leo miaka mitano baadae na nimiezi michache ya Mama Samia tunashuhudia tena ajira mpya za serikali elfu 40 FY2021|22 kwa gharama ya Tshs 239BL na 120BL kwaajili ya kubadili muundo wa Utumishi,maajabu zaidi ya mama tayari amesajili miradi mikubwa mipya 93 yenye thamani ya US$ 1.6BL karibu Tshs 3.23trl ambayo nayo itaajiri watu 23,600 na kumfanya ndani ya hivi vimiezi vichache kutoa jumla ya nafasi 53,600 za ajira achilia mbali miradi mingine mingi ya sekta binafsi|Umma inayoendelea kutoa ajira lengo likiwa ni ajira 8M ifikapo mwaka 2025.
__________________________________

4. Kicheko cha Rais Samia Majimboni,Bila kujali ukubwa wa jimbo Rais Samia FY2021|22 ameshatoa Tsh 132BL sawa na Tshs 500M katika kila Jimbo kwa majimbo yote 264 kama fedha za maendeleo ya Jimbo mbali na fedha za mfuko wa Jimbo,fedha hizi zimerudisha tabasamu kwa Wabunge hasa wa Majimbo,Mama ametoa tena Tshs 322.158BL kama bajeti ya nyongeza kwaajili ya Ujenzi wa Vyumba 10,000 vya madarasa Zahanati 555,Vituo vya afya 121,hakuishia hapo TARURA nao bajeti yao ameiongeza kwa 254% yaani kutoka 273BL FY 2020|21 hadi 966.43BL FY2021|22 kumaliza kila barabara korofi Vijijini|Mitaani,Nimwendo wa vicheko tu Watanzania tumtake nani kama sio Samia?
__________________________________

5. Kicheko cha Rais Samia na wafanyabiashara|Wawekezaji, Mhe Samia Ndio rais pekee aliyetangaza hadharani hahitaji kodi za Kishetani na akafuta jumla ya kodi|tozo zote kandamizi zipatazo 232 FY2021|22 bila kujali hasara ya Tshs 55.49997BL ambayo Serikali yake itapata kwa kuondoa tozo|kodi hizo nia yake aongeze idadi ya walipa kodi kutoka 2.7M waliopo na matokeo najua wote tumeyaona ,Nchi hii tangu tupate uhuru sijawahi kusikia tozo|kodi zaidi ya 230 zikifutwa kwa kwamkupuo Kama ambazo mama ameachilia kicheko hiki kwani hataki kabisa Tax economy ,pamoja na kukataa kodi za kishetani na kuondoa tozo kandamizi bado Miradi yote ya Watangulizi wake anaiendeleza sawasawa ikiwemo SGR US$ 4.64BL au Tsh 10.2trl,SG US$ 2.9BL au Tshs 6.5trl,ndege Mpya,barabara zote ujenzi unaendelea, madaraja yote,meli zote pamoja na haya yote kufanyika bado Wafanyakazi wetu ni vicheko,Wafanyabiashara|wawekezaji wetu ni vicheko,bodaboda wetu ni vicheko, machinga wetu ni vicheko,wanafunzi wetu hasa wa elimu ya juu ni vicheko, wafugaji wetu ni vicheko,wakulima wetu ni vicheko, Wapinzani nao ni vicheko hata wewe unayesoma naamini, Tayari nawewe unakicheko chako umecheka na Mama Samia ,

" Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni mama deserves better Wazalendo wote tumtie moyo, mpaka mwaka 2030 tutashuhudia maajabu, Tuombe uzima Tu"

.........KAZI IENDELEE ...........

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1936849
Ana jenga au ana endeleza alipo paacha bwana mkubwa jpm
 
VIVA SAMIA VIVA
 
Mama ameshindwa kabla hajaanza.

Of course watu wa pwani hawajawahi kua viongozi wa maana.

Ni watu legelege, wamezoea maisha ya kitumwa, waarabu wamewatumikisha miaka na miaka.

Hii nchi kuendelea bado ina safari ndefu sana.
Wewe mpumbavu na mjinga wa mwisho.Angalia takwimu za Rais Samia.Zinashangaza ulimwengu.Wewe ni mfuasi wa sukuma gang.Mmeshindwa.Mama Samia ana miaka 10 mingine kutuongoza.utake usitake.
 
Back
Top Bottom