Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

Huyo ndio Mtanganyika mwenzenu.Kwa Samia mumekosa hoja mnaanza kumtambulisha Kwa njia ya ukabila na ubaguzi wa maeneo.

Hiyo.Dhambi imekita mizizi huko Chadomo
Mkuu ChoiceVariable nimeusoma uzi huu kwa utulivu tangu mwanzo, nimevutiwa sana na utetezi wako wenye ushahidi ulioshiba.
Kama wewe ni msemaji wa rais basi nakupa hongera kwa namna ulivyotimiza majukumu yako.

Ingawa baadhi ya wachangiaji walikuwa na hoja lakini sijaona viambatanisho cha kutetea hoja zao kama ambavyo wewe umefanya.

Hapo kabla sikujua baadhi miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa, lakini kupitia uzi huu na hasa ushahidi ulioweka hapa nasema asante kwake mama.
 
Utawadanganya wenzuo Wenye akili za paka! Nchi hii Viongozi waliofakya makubwa ni Nyerere na Mkapa,anafuati JPM,Kikwete ,Hawa Wanzibat ,wanagawana alama huko chini!
 
kaulize kwa wakubwa zako? Nyie uwezo mdogo kazi kukariri 😀 Wache kujenga kwao waje kujenga huku si ndio uongo huo
 
Wabara wengi hawana uwezo wa kiakili zaidi ya kukariri masomo ya kizungu.
Hebu tuoneshe CHANJO ZA KIARABU ulizochomwa tangu kuzaliwa kwako Hadi Leo yaani kuanzia makalioni Hadi kwenye utosi.
 
Hebu tuoneshe CHANJO ZA KIARABU ulizochomwa tangu kuzaliwa kwako Hadi Leo yaani kuanzia makalioni Hadi kwenye utosi.
Kwani zinafika huku, kaangalie vifo vya corona kwa mabwana zako wazungu na waarabu
 

SASA VITU HIVYO HUWEZI KUVIPATA HADI UWE NA TANGANYIKA??
 
Je, Rais Samia katoa wapi hizo fedha? Je, serikalini hakuna wataalam? Je, chama hakina mchango kutokana na ule mpango wake wa miaka kumi kumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…