Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Daaah!!Watanganyika ni wadanganyika?
Lakini si Mtanganyika.Kwa Katiba yetu Rais ni Mungumtu
Kwanini yeye mwenyewe anasemaje?Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Atazindua uandikishaji wa wapiga kura,sio yeye kupiga kura,siku ya kupiga kura bado.Hata Rais wa nchi nyingine,angeweza kuzindua uandikishaji wapiga kura,sio.kupiga kura.Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Ni raia wa Tanganyika? Jee kile kitambulisho chake Cha mkaazi Zanzibar kinabatilika?Anapiga vizuri tu
Kajenga mahali flani hapa dar na kwa Sasa ni mkazi wa magogoni
Elewa mantiki ya swali. Amesajiliwa Zanzibar kama mkaazi wa Zanzibar. Na uchaguzi wa Serikali za mitaa si sehemu ya mambo ya Muungano.wabongo bana, sasa Samia ni mkaazi ya Dar es salaam kwa karibu miaka 15 bado munahoji uhalali wake wakupiga kura?
Tuna wajinga wengi!! Hivi uraia huwa unapatikana kwa kujenga? Mrundi akija Tanzania akajenga nyumba, tayari anakuwa Mtanzania?Anapiga vizuri tu
Kajenga mahali flani hapa dar na kwa Sasa ni mkazi wa magogoni
Rais Samia alipata nafasi ya kuwa mgombea mwenza wa Magufuli kwa sababu ni mzanzibari Serikali za Mitaa siyo miongoni mwa mambo ya Muungano. Akipiga kura huku Tanganyika atakuwa amekiuka sheria.wabongo bana, sasa Samia ni mkaazi ya Dar es salaam kwa karibu miaka 15 bado munahoji uhalali wake wakupiga kura?
Yule bibi Yuko Jf kweli?Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Allen Kilewella ameuliza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa.Anaweza piga kura ya Urais wa Jamhuri ya Muungano.