Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani wewe ulipoenda kujiandikidha kupiga kura umetumia kitambulisho cha Mtanganyika mkaazi?Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Naunga mkono hoja. Naomba utuongoze kwenye hili.Duhh kazi kweri kweri….Huu Muungano ufutwe haraka sana kwa manufaa ya Tanganyika.
Mkuu atakuwa amekiuka sheria ipi na ya mwaka gani, chini ya kifungu gani?Rais Samia alipata nafasi ya kuwa mgombea mwenza wa Magufuli kwa sababu ni mzanzibari Serikali za Mitaa siyo miongoni mwa mambo ya Muungano. Akipiga kura huku Tanganyika atakuwa amekiuka sheria.
Taito inaitaja Tanganyika ila kwa ndani maudhui yake ni uchaguzi wa Serikali za mitaaSoma title ya uzi.
Badili title.Taito inaitaja Tanganyika ila kwa ndani maudhui yake ni uchaguzi wa Serikali za mitaa
Tanganyika haipo kikatibaLakini si Mtanganyika.
Katiba ilikwisha eksipaya hivyo tunaishi kiholela ndiyo sababu Mzee Mwinyi alilazimishwa kuzikwa kwao kupya.Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Hii kauli mbona haina maana? Sawa na kusema kila mchagga ni mtanzania Ila sio kila mtanzania ni mchaggaKila Mzanzibar ni Mtanzania na sio kila Mtanzania ni Mzanzibar.
Kwani ni uongo ndugu zangu?Hii kauli mbona haina maana? Sawa na kusema kila mchagga ni mtanzania Ila sio kila mtanzania ni mchagga
Mwingine atasema kila mgogo ni mtanzania Ila sio kila mtanzania ni mgogo.
Mwingine atasema kila msambaa ni mtanzania Ila sio kila mtanzania ni msambaa
Etc.....
Ungeleta ibara inayosema unayosema tungekua sehemu salama. Mwisho nchi hii inaongozwa na Rais Mtanzania nasio raia wa nchi nyingine.Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Mbona aibu hii kwakweli? Hivi tulisema atokee upande mmoja wa Tanzania maana yake ni mtu wa kutoka Taifa jingine?Rais Samia alipata nafasi ya kuwa mgombea mwenza wa Magufuli kwa sababu ni mzanzibari Serikali za Mitaa siyo miongoni mwa mambo ya Muungano. Akipiga kura huku Tanganyika atakuwa amekiuka sheria.
Ukisema wajinga wengi nawe usijondoe katika ili. Je,kuna raia wa Zanzibar?Tuna wajinga wengi!! Hivi uraia huwa unapatikana kwa kujenga? Mrundi akija Tanzania akajenga nyumba, tayari anakuwa Mtanzania?
Wewe ni fala tu. Hivi huko Chadema hakuna wenye akili kabisa?Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Umenikumbusha jamaa yule..r.i.pKwani ni uongo ndugu zangu?
maswali mengine waulizeni waliomuweka pale, wenye hekima waliona mbali wakapinga asiwe raisi wao wakatumia mabavu eti wanalinda katiba nadhan wanafurahi sasa kwa haya yanayoendeleaNasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Mbna mambo ya utanganyika Nyerere alishayamaliza au unamaanisha anataka kupigwa kura katika Halmashauri ya Tanganyika huko KataviNasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.