Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Chao ni chao na chetu ni chao pia😳🙄🙄Allen Kilewella ameuliza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chao ni chao na chetu ni chao pia😳🙄🙄Allen Kilewella ameuliza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa.
Anadai yumo...Yule bibi Yuko Jf kweli?
Haoni Wala haelewi,tunachoongea huku.Anadai yumo...
Mzanzibari yoyote anaruhusiwa kupiga kura bara maadam anaishi Tanganyika maana na wao ni Watanzania. Ila Mtanganyika ndo hurusiwi kupiga kura Zanzibar maana Watanganyika siyo Wazanzibar. Umenipata hapo?Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Huo muungano umetufanya tumepigwa upofuMzanzibari yoyote anaruhusiwa kupiga kura bara maadam anaishi Tanganyika maana na wao ni Watanzania. Ila Mtanganyika ndo hurusiwi kupiga kura Zanzibar maana Watanganyika siyo Wazanzibar. Umenipata hapo?
Soma title ya uzi.Allen Kilewella ameuliza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa.
Lakini si mtanganyikaAnaweza piga kura ya Urais wa Jamhuri ya Muungano.
Wewe jamaa wa Kitakita unapenda vagi.Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Tafuta sheria za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 imeainisha ni nani ana haki ya kupiga kura...Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Raia namba moja wa Tanzania, hata asipojiandikisha atakuta jina lake limeandikwa namna moja tayari. yeye ana kazi moja tu,Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni mwa mambo ya Muungano.
Jee ni sawa Mzanzibari kupiga kura kwenye uchaguzi ambao kiuhalisia unahusiana na watanganyika pekee?
Samia kutaka kuingia kwenye mambo ya kupiga kura Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari (Ana kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi) siyo uvunjivu wa Katiba?
Wazungu walituletea toilet paper, wakati huo tulikuwa tunatumia majani baadae magazeti hata kama yana picha ya muheshimiwa fulani, sasahivi tunatumia maji wakati maji tulikuwa nayo tangia mwanzo kumbe mtizamo hutubadilisha tabia, (mindset),eti ukitumia maji unashika inye, je sikuhizi hatuishiki inye?.Kwa Katiba yetu Rais ni Mungumtu
Rais Samia alipata nafasi ya kuwa mgombea mwenza wa Magufuli kwa sababu ni mzanzibari Serikali za Mitaa siyo miongoni mwa mambo ya Muungano. Akipiga kura huku Tanganyika atakuwa amekiuka sheria.
Jibu ndilo hilo Katiba iliyopo inamruhusu !Kwa Katiba yetu Rais ni Mungumtu
Huu ndio ukweli mchungu.Mzanzibari yoyote anaruhusiwa kupiga kura bara maadam anaishi Tanganyika maana na wao ni Watanzania. Ila Mtanganyika ndo hurusiwi kupiga kura Zanzibar maana Watanganyika siyo Wazanzibar. Umenipata hapo?
HUYO NI RAIA FRKI HSNA HSKI YOYOTE YA KUPIGA KURA WALA KUGOMBEA UONGOZI SI TANZANIA BARA WALA ZANZIBARNasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.