Pre GE2025 Rais Samia anayo sifa ya kupiga kura Tanganyika?

Pre GE2025 Rais Samia anayo sifa ya kupiga kura Tanganyika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
unamaana gani kusema mambo ya utanganyika nyerere alishayamaliza
Ya Tanganyika aliyamaliza lakini ya Zanzibar akayaacha!!!

Katiba Iko wazi. Kuna mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano. Mambo yasiyo ya Muungano wazanzibari hawahusiki nayo.

Na uchaguzi wa Serikali za mitaa si mambo ya Muungano.
 
Ila katiba inamruhusu kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tz. Anafanya kazi ya mkuu wa nchi.
 
Kwani Tanganyika ni wapi?
Tanganyika ni Tanganyika.

Tanzania imetokana na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Katiba Iko wazi kuwa Kuna mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano. Uchaguzi wa Serikali za mitaa si jambo la Muungano.
 
Back
Top Bottom