Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
" Mimi uwa spendi hata maugomvi ya vyama ndio maana wakati nikiwa katibu mkuu nilikuwa nawakemea Wana CCM walioongea mambo ya OVYO dhidi ya wapinzania maana naonaga ni UPUMBAVU TU"
Yule Mwenyekiti wa CCM Kagera sijui kajiskiaje maana yeye ndo aliwai kemewa na Dr nchimbi
Kusema ukweli Nchimbi ameongea yake mazuri kuliko ya boss wake je atanusurika? Namwona akiwa chawenesm soon