Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
Mtakubaliana na Mimi kuokoa TZS100bn Kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumlaa ya madarasa 5,000 Kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.
Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn
View attachment 3394752
Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP,
Gharama za kuendesha TPA kwa mwezi ilikuwa TZS 262bn, Sasa imeshuka hadi TZS166bn,
Hivyo ameokoa TZS100bn kila Mwezi, Pesa hii inaweza kujenga madarasa 5,000 kwa kila Mwezi
NDIO SABABU WATANZANIA WOTE OCT TUNATIK✅ KWA MAMA.
😂😋Akili yako na akili ya panzi mmezidiana kdg tu
KAzi na utuMtakubaliana na Mimi kuokoa TZS100bn Kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumlaa ya madarasa 5,000 Kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.
Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn
View attachment 3394752
Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP,
Gharama za kuendesha TPA kwa mwezi ilikuwa TZS 262bn, Sasa imeshuka hadi TZS166bn,
Hivyo ameokoa TZS100bn kila Mwezi, Pesa hii inaweza kujenga madarasa 5,000 kwa kila Mwezi
NDIO SABABU WATANZANIA WOTE OCT TUNATIK✅ KWA MAMA.
Mama anatisha sanaHongera sana kwa kazi nzuri
wote wapo sawa pamoja na ya Lucas MwashambwaAkili yako na akili ya panzi mmezidiana kdg tu
Watumwa wachache wamekuelewa,, kwamba tumpigie KURA kwasababu "tunaweza" kujenga madarasa 5000- kila mwezi,, japo hayo madarasa bado hayajajengwa... 😄 😄Mtakubaliana na Mimi kuokoa TZS100bn Kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumlaa ya madarasa 5,000 Kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.
Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn
View attachment 3394752
Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP,
Gharama za kuendesha TPA kwa mwezi ilikuwa TZS 262bn, Sasa imeshuka hadi TZS166bn,
Hivyo ameokoa TZS100bn kila Mwezi, Pesa hii inaweza kujenga madarasa 5,000 kwa kila Mwezi
NDIO SABABU WATANZANIA WOTE OCT TUNATIK✅ KWA MAMA.
YanajengwaWatumwa wachache wamekuelewa,, kwamba tumpigie KURA kwasababu "tunaweza" kujenga madarasa 5000- kila mwezi,, japo hayo madarasa bado hayajajengwa... 😄 😄
Umebaki na akili ndogo sanaHovyo kabisa, leta ushahidi na siyo huu ushetani wenu wa kitapeli, fedha zinaibwa na yeye kupitia kwa Abdul
Haya dada angu mwenye akili kubwa, weka takwimu mezaniUmebaki na akili ndogo sana
Ni utapeli tu wa kijingaIko wapi hiyo hela iliyookolewa? Au wameshajenga hayo madarasa?