Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Ukweli umesemwa na wenye hasira na wivu endeleeni kuumia.Kachukue buku 7 yako kazi kwisha
Ukweli umesemwa na wenye hasira na wivu endeleeni kuumia.Kachukue buku 7 yako kazi kwisha
Mtaendelea kuumia kila siku.Ni utapeli tu wa kijinga
Dada angu hata wewe umeingia kwenye mkumbo?Mtaendelea kuumia kila siku.
Naweza kuwa baba yako mzazi ni vile hatujuani.Dada angu hata wewe umeingia ikwenye mkumbo?
Siwezi kuwa na baba mwendawazimu namna hii, wewe mwenyewe unaishi kwa shemeji ako utalisha kitu gani familia? Bando lenyewe unatumia la dada akoNaweza kuwa baba yako mzazi ni vile hatujuani.
CCM wapo kivitendo zaidi nyinyi wapiga kelele mnaendelea kuandika upupu humu jukwaani.
Kazi zimefanyikaUkweli umesemwa na wenye hasira na wivu endeleeni kuumia.
Kwani ukiokoa pesa ndio usiongeze pesa?Sasa anakopa ili iweje na deni la taifa why linapaa
Punguza nongwa bwana mdogo, haziwezi kukusaidia kwa lolote lile.Siwezi kuwa na baba mwendawazimu namna hii, wewe mwenyewe unaishi kwa shemeji ako utalisha kitu gani familia? Bando lenyewe unatumia la dada ako
UWT nyie ni matapeli haswaPunguza nongwa bwana mdogo, haziwezi kukusaidia kwa lolote lile.
DP World ipo kwa miaka mingine zaidi ya 20 pale TPA unachoweza kufanya labda ni kujinyonga tu.
Uweke wazi huo utapeli sio kuandika hisia potofu.UWT nyie ni matapeli haswa
Kazi imefanyika aiseeUkweli umesemwa na wenye hasira na wivu endeleeni kuumia.
Kazi UtuMtakubaliana na Mimi kuokoa TZS100bn Kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumlaa ya madarasa 5,000 Kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.
View attachment 3394752
Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn
Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP,
Gharama za kuendesha TPA kwa mwezi ilikuwa TZS 262bn, Sasa imeshuka hadi TZS166bn,
Hivyo ameokoa TZS100bn kila Mwezi, Pesa hii inaweza kujenga madarasa 5,000 kwa kila Mwezi na hii ndio dhana na faida ya Ubia PPP,
NDIO SABABU WATANZANIA WOTE OCT TUNATIK✅ KWA MAMA.
Hii nzuriMtakubaliana na Mimi kuokoa TZS100bn Kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumlaa ya madarasa 5,000 Kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.
View attachment 3394752
Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn
Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP,
Gharama za kuendesha TPA kwa mwezi ilikuwa TZS 262bn, Sasa imeshuka hadi TZS166bn,
Hivyo ameokoa TZS100bn kila Mwezi, Pesa hii inaweza kujenga madarasa 5,000 kwa kila Mwezi na hii ndio dhana na faida ya Ubia PPP,
NDIO SABABU WATANZANIA WOTE OCT TUNATIK✅ KWA MAMA.
Zile za cag mbona hachukui hatua? Hawa machawa wanajitoa ufahamu sana!Kachukue buku 7 yako kazi kwisha
Machawa wa hovyo? Cag anagundua ubadhirifu mkubwa na hachukui hatua yoyote! Hawa wanaleta ngonjera hapa!Kumbe hizi pumba anaanda Kafulila ndio maana zimejaa hesabu za kijinga.