Rais Samia aokoa TZS 100bn kila mwezi Bandari ya Dar es Salaam pesa inayoweza kujenga madarasa mapya 5,000 kila mwezi

Rais Samia aokoa TZS 100bn kila mwezi Bandari ya Dar es Salaam pesa inayoweza kujenga madarasa mapya 5,000 kila mwezi

Kama ameokoa basi aondoe TOZO kwenye makato ya MIAMALA /SIm Banking.
 
Mtakubaliana na Mimi kuokoa TZS100bn Kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumlaa ya madarasa 5,000 Kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.

View attachment 3394752

Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn

Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP,

Gharama za kuendesha TPA kwa mwezi ilikuwa TZS 262bn, Sasa imeshuka hadi TZS166bn,

Hivyo ameokoa TZS100bn kila Mwezi, Pesa hii inaweza kujenga madarasa 5,000 kwa kila Mwezi na hii ndio dhana na faida ya Ubia PPP,

NDIO SABABU WATANZANIA WOTE OCT TUNATIK✅ KWA MAMA.
Wakuu mbona bado matumizi ya Bandari ya Mombasa yameongezeka hata kwa Watanzania shida nini sasa hapo nahumu mmeboresha? Na kule hawana mwekezaji kama huyu anaesifika


No reform No Election
 
Sema DP WORLD wako kimya. Ninyi mliowauzia bandari ndio mnakaza fuvu kuonesha jinsi wanavyowasaidia.

Ovyooooooo
Pole mkuu DP world ni bonge la investment watanzania tujivunie
 
Back
Top Bottom