Rais Samia aokoa TZS 100bn kila mwezi Bandari ya Dar es Salaam pesa inayoweza kujenga madarasa mapya 5,000 kila mwezi

Huoni aibu sisi kuendeshewa bandari zetu unasifia mshenzi anaeokota faida aya katika hizo billion 100 yeye kachukua ngapi wewe zumbukutu ulie kosa akili.
 
Screenshot_20250714_172833.jpg
 
Mtakubaliana na Mimi kuokoa TZS 100bn kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumla ya madarasa 5,000 kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.

View attachment 3394752

Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn

Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP,

Gharama za kuendesha TPA kwa mwezi ilikuwa TZS 262bn, Sasa imeshuka hadi TZS166bn,

Hivyo ameokoa TZS100bn kila Mwezi, Pesa hii inaweza kujenga madarasa 5,000 kwa kila Mwezi na hii ndio dhana na faida ya Ubia PPP,

NDIO SABABU WATANZANIA WOTE OCT TUNATIK✅ KWA MAMA.
Mama anatisha kwelikweli
 
Chai
 
Ayo madarasa yako wap tangia aanze kuokoa 100bln?au ndo zimeanza kuokolewa jana nn? Usije ikawa ndo kauli Za akili maiti
 
Mtakubaliana na Mimi kuokoa TZS 100bn kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumla ya madarasa 5,000 kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.

View attachment 3394752

Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn

Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP,

Gharama za kuendesha TPA kwa mwezi ilikuwa TZS 262bn, Sasa imeshuka hadi TZS166bn,

Hivyo ameokoa TZS100bn kila Mwezi, Pesa hii inaweza kujenga madarasa 5,000 kwa kila Mwezi na hii ndio dhana na faida ya Ubia PPP,

NDIO SABABU WATANZANIA WOTE OCT TUNATIK✅ KWA MAMA.

Jiulize gharama hizo zote zilikuwa za nini kama sio wizi tu. Mama na team yake bado rushwa ipo juu sana
 
Mtakubaliana na Mimi kuokoa TZS 100bn kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumla ya madarasa 5,000 kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.

View attachment 3394752

Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn

Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP,

Gharama za kuendesha TPA kwa mwezi ilikuwa TZS 262bn, Sasa imeshuka hadi TZS166bn,

Hivyo ameokoa TZS100bn kila Mwezi, Pesa hii inaweza kujenga madarasa 5,000 kwa kila Mwezi na hii ndio dhana na faida ya Ubia PPP,

NDIO SABABU WATANZANIA WOTE OCT TUNATIK✅ KWA MAMA.
MUNGU AENDELEE NA MAMA KWA KISHINDO KIKUU!
 
SIJAELEWA KIDOGO BANDARI SI INAINGIZA HELA SASA HIZO ZINAYTUMIKAJE LABDA NIELEWESHE MI NADHANI WANGEWEKA MAINGIZO SASA IMEKUWAJE ILI WATUWAELEWE VIZURI MAMA MITANO TENA
 
Mtakubaliana na Mimi kuokoa TZS 100bn kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumla ya madarasa 5,000 kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.

View attachment 3394752

Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn

Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP,

Gharama za kuendesha TPA kwa mwezi ilikuwa TZS 262bn, Sasa imeshuka hadi TZS166bn,

Hivyo ameokoa TZS100bn kila Mwezi, Pesa hii inaweza kujenga madarasa 5,000 kwa kila Mwezi na hii ndio dhana na faida ya Ubia PPP,

NDIO SABABU WATANZANIA WOTE OCT TUNATIK✅ KWA MAMA.
hongera Rais Samia
 
Vp mkuu ujenzi unaendeleaje huko?
 
Mtakubaliana na Mimi kuokoa TZS 100bn kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza
Bilioni zimeokolewa kwa kupunguza gharama za uendeshaji wa sehemu husika. Kwa hiyo, mfuko wa hazina umetuna, na utunaji wa mfuko huo twaweza kuuona kwenye bajeti ijayo ya serikali kwa maana tutapunguza utegemezi wa wafadhili kwenye mapato ya kukidhi bajeti yetu, siyo? Mleta mada unatuahidi hili tuanze "kujipiga kifuani" kwa mafanikio haya ?
 
Mambo 20 Chini ya Rais Samia​

  1. Diplomasia ya Uchumi – Amefungua Tanzania kwa dunia, kurejesha mahusiano mazuri ya kimataifa na kuvutia wawekezaji.
  2. Miradi ya Maji – Utekelezaji wa miradi mikubwa ya maji vijijini na mijini, kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi na salama.
  3. Sekta ya Afya – Ujenzi na ukarabati wa hospitali, vituo vya afya na zahanati nchi nzima; kuongeza vifaa tiba na dawa.
  4. Sekta ya Elimu – Kuondoa ada kwa shule za sekondari hadi kidato cha sita na ujenzi wa shule mpya pamoja na mabweni.
  5. Barabara na Miundombinu – Ujenzi na ukarabati wa barabara kuu na za vijijini, madaraja na barabara za mchepuo mijini.
  6. Mradi wa Umeme Vijijini – Upanuzi mkubwa wa REA unaowafikia wananchi wengi zaidi vijijini.
  7. Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) – Kuendeleza mradi wa umeme wa megawati 2,115 kwa maendeleo ya taifa.
  8. Uboreshaji wa Shirika la Ndege (ATCL) – Kununua ndege mpya na kuongeza safari za kimataifa.
  9. Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) – Kuendeleza mradi wa reli ya umeme kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza.
  10. Uwekezaji katika Bandari – Kuboresha bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ili kuongeza biashara na mapato.
  11. Ajira kwa Vijana – Kupitia miradi ya kilimo (Building a Better Tomorrow – BBT) na sekta nyingine.
  12. Kilimo na Chakula – Kutoa ruzuku ya mbolea na pembejeo, kuanzisha Programu ya Kilimo cha Kibiashara.
  13. Mikopo ya Halmashauri 10% – Kuimarisha upatikanaji wa mikopo kwa vijana, wanawake na walemavu.
  14. Mapambano dhidi ya Ufisadi na Rushwa – Kuimarisha uwajibikaji na uwazi katika taasisi za umma.
  15. Sekta ya Madini – Kuboresha mikataba ya madini ili Tanzania inufaike zaidi.
  16. Michezo na Sanaa – Kuwezesha vijana kushiriki kimataifa na kuanzisha mfuko wa kuendeleza sanaa.
  17. Afya ya Mama na Mtoto – Kujenga vituo vya kisasa vya huduma ya dharura na kuongeza watoa huduma.
  18. Mfumo wa Kidigitali Serikalini – Kuongeza matumizi ya TEHAMA katika utoaji huduma.
  19. Utalii na Hifadhi za Taifa – Kutangaza Tanzania kimataifa kupitia filamu, promosheni na uwekezaji.
  20. Amani na Umoja wa Kitaifa – Kuimarisha mshikamano wa kijamii, kisiasa na kuendeleza majukwaa ya mazungumzo ya kitaifa.
 
Back
Top Bottom