Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
SAFI SANAAAANdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii Leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Ya Chamwino Mkoani Dodoma.View attachment 3319835View attachment 3319837
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
kazi na utu tusonge mbele pamoja.Ndugu zangu Watanzania,

Utaishia kuripoti tu, teuzi utazisikia tu 🤣🤣🤣🤣😅😅🤣Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii Leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Ya Chamwino Mkoani Dodoma.View attachment 3319835View attachment 3319837
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uwe na adabu weweKikao Cha panya buku
Kwani wapi nimesema kuwa natafuta uteuzi hapa jukwaaniUtaishia kuripoti tu, teuzi utazisikia tu 🤣🤣🤣🤣😅😅🤣
Mjinga mwenyeweKikao cha wajinga
Wapo Barazani kitambo sana.Lukuvi na mkuchika ni mawaziri wa wizara zipi? Hawa si walitolewa? Au walirudishwa tena. Lol
Huwezi pata teuziNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii Leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Ya Chamwino Mkoani Dodoma.View attachment 3319835View attachment 3319837
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Baraza la majizi ya mali za umma..Ndugu zangu Watanzania,

Acha kuweweseka na kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongoBaraza la majizi ya mali za umma..
Kwani wapi nimesema natafuta uteuzi.Huwezi pata teuzi