Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #61
Nimeacha nafasi ili uweke namba yako.Dada umesahau kuweka namba ya simu!

Kwahiyo huwa unajitolea hizi thread zako???Kwani wapi nimesema kuwa natafuta uteuzi hapa jukwaani
Najitolea.Kwahiyo huwa unajitolea hizi thread zako???
😅
Wenzako akina Steve Nyerere wamekula shavu wewe unashamgaa!!!
"Chawa Kazini"....Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Daaaaaa toilet paper......au c...ond...o..mNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii Leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Ya Chamwino Mkoani Dodoma.View attachment 3319835View attachment 3319837
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chuma kimeoza hakina lolote. Hamkumwelewa Wasira kuhusu bodi limezeeka.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii Leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Ya Chamwino Mkoani Dodoma.View attachment 3319835View attachment 3319837
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi siyo chawa"Chawa Kazini"....
Safii mvumilivu hula mbivu!!!Najitolea.